Recent content by The Architect

  1. The Architect

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, uliyosema ni ya ukweli kabisa. Hao jamaa wanazingua
  2. The Architect

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Besiktas ameshafuzu mkuu, apo Leipzig na Porto wanalingana points kwenye ilo kundi na kila mmoja anataka afuzu
  3. The Architect

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo ndipo inapokuja changamoto. Iyo match ina changamoto kama ile ya jana, Bayern na PSG. Napoli anampumulia shakhtar, yani wakizingua tu kwenye iyo match wanaenda nje.
  4. The Architect

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu, leo Man City anacheza, sasa odds kapewa nyingi sana kwenye mkeka bet. Sijajua ataweka kikosi dhaifu kiasi gani, ila naona kama bado wana upepo sana na kikosi chao ni kipana. Odds za UCL izo apo chini.
  5. The Architect

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote...
  6. The Architect

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Dalili ya mvua ni mawingu. Kwenye situation kama hii haina haja ya kusubiri shari, ni bora kutoroka kabla mvua haijaja
  7. The Architect

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Wataziba? [emoji23][emoji23] They should evacuate from the building soon rather than later
  8. The Architect

    Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

    Ayo mambo ya kimila, mara kondoo mweupe mbona kama ya kichawi? Kwa hizo sababu zako dhaifu umefeli
  9. The Architect

    Polisi wa Kenya ni Aibu

    At the same time waandamanaji wanachoma maduka na kupora vitu, iyo ni ghasia. Haifanani na maandamano yanayofanyikaga hapa nchini. Hao watu wa raila sio wadai haki, ni wafanya fujo. Do you know how to deal with them? Any suggestions?
  10. The Architect

    CCM wakemea ukabila na udini, wasema wanaohubiri wakamatwe mara moja

    Anzeni kumkamata Magufuli kabla hamjaendelea na bla bla zenu.
  11. The Architect

    Serikali kuweni macho 24/7 tusije tukawa na vikundi vya uasi kwa huu ubishi wa kila jambo!!

    Mkuu, kwa kukusaidia tu uwe unatoa mifano, angalau kumi ili kuonyesha uzito wa point yako. Ila utambue kwamba kila proposal inayotolewa lazima iwe na makosa ambayo yakifanyiwa marekebisho then Project inakua na mafanikio. Tatizo anayofanya Magufuli yapo kisiasa zaidi, sio kwa maslahi ya wananchi...
Back
Top Bottom