Recent content by The advisor

  1. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Dr. za kwako mkuu natumaini ni mzima samahani ni kwa kampuni zipi naweza pata mbegu nzuri za kuku BROILERS?
  2. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    helow mkuu kampuni ngapi tanzania zinazotoa mbegu nzuri ya kuku BROILERS?
  3. The advisor

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Some of us haven't been regular posters in this thread but we are still aggressive readers!!! Following the "trend" both here and on the market... Waiting for the classes in deep excitement mr ONTARIO Sent using Jamii Forums mobile app
  4. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Jamani hii thread nimefatilia kwa mda kiongozi Aman Ngoma Naomba tuwasiliane na kama kuna magroup ya whatsapp kuhusu hili swala ntashukuru kujumuishwa Number yangu ni 0654908122
  5. The advisor

    JamiiForums Tanzania Elimu bora ya kufuga kuku wa kisasa wa mayai na kupata mbegu bora

    Nipo Dar es salaam kiongozi
  6. The advisor

    JamiiForums Tanzania Elimu bora ya kufuga kuku wa kisasa wa mayai na kupata mbegu bora

    Wana jamvi nilikua nina shida ya kupata elimu kamili ya kuku wa kisasa wa mayai na sehemu naweza kupata mbegu bora ya hao kuku iliyo imara Na kama kuna thread yoyote ya kunisadia zaidi nitashukuru
  7. The advisor

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    Unavyosema unatumiwa, nikua umeingia ubia na kampuni ya umeme au wholesalers..... Nieleweshe hapo mkuu???
  8. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Hey kiongozi bado una hao kuku wa KUCHI?? nawaitaji
  9. The advisor

    JamiiForums Tanzania Fuata njia hizi, mwanamke hakukatai ng`oo hata awe vipi

    Asante kwa ushauri mzuri
  10. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    asante sasa naweza kumpata vipi huyo Malafyale??
  11. The advisor

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    kiongozi mimi ni mjasiriamali naye taka kuanza kufuga hawa wanyama ,je naweza kukupata wapi ukanipa somo zaidi na hata la "practical" unawapo wafugia hao wa kwako. asante
Back
Top Bottom