Recent content by Thas trabo

  1. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    [emoji23][emoji23] ndo lingewahi nifikisha maana muda huo sidhani kama miguu ingeweza timiza hitaji la mbio nilizo dhamilia, na nisinge sahau kuwasha AC [emoji23]
  2. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    "...aisee nilisikia nimesukumwa na nguvu isiyokuwa ya kawaida,ile nataka kuanguka chini nilimuona kiumbe wa ajabu ananipita kwa kasi ya ajabu akiwa uchi kama alivyozaliwa akikimbilia sebuleni na kuanza kuyafakamia yale makabeji kwa spidi kali mno,nilipokuwa bado naendelea kushangaa na kuhamaki...
  3. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pamoja sana Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
  4. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tumia App Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
  5. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi naona kikubwa atueleze wakamalia huwa analyze vipi, ili nasi tuone namna ya kumkamata kanji dizaini ye, ambavyo huwa ana mliza Msweden Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
  6. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unawezeshwa tu mtaji, wengine acc zinapumulia mashine Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
  7. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Gorofa la mmoja wa wamiliki wa Kamanga Hospital
  8. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Hii ya moto sana, nikipata rafiki kama mtatiro nitaimba halelujah.[emoji120]
  9. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1630]90% winning accuracy[emoji736] [emoji1630]130 wins 26 losses [emoji1630]Daily 20 wins guarantee[emoji736] [emoji1630]3 ultra premium game daily[emoji736] [emoji1630]All the odds over 1.6 [emoji736] [emoji1630]Footbal ,cricket ,table tennis , Tennis , Base ball, Volleyball...
  10. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    https://t.me/hbond00
  11. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Tatizo ni la mwaka sasa, nmetumia vitungu swaum na cream ya Podophyllin
  12. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    shukran mkuu kwa kuzidi kuongezea nyama, ushauri huu ntampatia naamini atazingatia haswa isitoshe ni ame hangaika sana.
  13. Thas trabo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Nimekupata vyema kiongozi, niliwahi sikia funga pia ni tiba nzuri ya kupunguza unene.
Back
Top Bottom