Naumia kuona jeshi mpaka leo halijatoa ufafanuzi wa fununu kuwa kikosi maarumu cha ikulu kina raia wa kigeni wanaomlinda rais !
Je ni polisi wepi anaowatuma kudhibiti upinzan?
Ccm ilishakufa imebaki kubebwa na dola hivyo bila dola hata leo ccm inazikwa, hivyo pale vyombo vya dola jeshi na mahakama vtakavyosimama upande wa hiki ndo utakuwa mwisho wa ccm
Andiko hili la kifezur mno nia ya mwandishi ni kupumbaza fikra mpya kwamba tuone eti kutekwa na kuteswa hata kuuawa ni jambo la kawaida ..... Shindwa in the name of JESUS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.