Recent content by Thando

  1. T

    Wanawake na mauongo yao ya saluni haya hapa….!

    Y saluni huwa ni ya kuyaacha hukohuko na kama mwanamke yeyote atajaribu kuyachukulia maanani, basi ajue ameposhapoteza mume.
  2. T

    JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

    Hello Binti Sayuni, I am fine, I heard of you from my hubby. Homa imenipelekesha kiasi chake, yaani hata siku hiyo ya party nilikuwa naendesha tu kwa kuwa ni mume wangu, la sivyo nisingetoka kabisa. Kwa sasa namshukuru Mungu kwa uponyaji wake. Vipi wewe unaendeleaje?
  3. T

    Msaada kama kuna mdau alinionea Kikuku changu siku ya White Party tafadhali!!!!!!!!!!!!!!!!

    Namshukuru Mwenye Enzi. Afya yangu imeimarika, nilihisi ni uchovu kumbe pia malaria. Mtu unaweza ukafa hivihivi kwa uzembe usio rasmi.
  4. T

    Hamkawii kuibilizia.............!

    Kiukweli hata mimi sijui hiyo lugha sana, ila baba anaendelea kunifundisha na ni lugha ngumu kwangu, Lakini ina kladha yake hivi! Naamini siku ya Party mliongea sana na ndio maana nilipokuja kumchukua tayari alikua kachangamka sana nikajua lazima atakuwa amekutana na ndg zake. Au post kwa Lugha...
  5. T

    Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa...

    Teh teh teh teh mzabzab sijui nichekeje mie, watu huoana kutokana na maeneo waliyokutana, kwa mfano humu jf ni mahali pazuri pa watu kufahamiana. Makanisani na misikitini. Maeneo ya michezo, kumbi za starehe na popote pale penye mijumuiko ya watu. Nina mfano ulio hai kabisa. Mume wangu Thanda...
  6. T

    Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa...

    Ndugu yangu, wanawake wa kuoa wako tena wengi tu, hujamuona Madam B kaweka mambo yake hadharani bila kuwachanganyia habari....Big up Madam B
  7. T

    Hamkawii kuibilizia.............!

    Kaka Mtambuzi my hubby aliniambia unafaa kuwa wewe ni Event Manager mzuri sana, Protocol Officer, Waziri Wa Jf( Wizara ya Fedha, Wizara ya Habari na Utangazaji, Wizara ya Usalama wa Raia,)na hapa JF nakuona kama mtu muhimu sana katika fani ya sanaa. Sanaa kwa maana ya ubunifu fulani wa mambo...
  8. T

    JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

    Asante sana Kipipi, kwa sasa ninaendelea vizuri. kubadilisha hali ya hewa mara kwa mara pia kunachangia.
  9. T

    JF Dar-Wing, White Party-TIMETABLE

    thando anawatamania sn ila anaumwa jamani, plz jf members take a very gud care of my hubby thanda, i love him jamani he is my all. miss u all. enjoy urselves
  10. T

    Tz No 1 Ladies Player of All Times! Ujuzi wake haukamatiki...

    Uko vizuri sana @lara1. Sio bure nivea aliniambia njoo huku utaona mambo, kweli sasa naamini kuna mambo. Inabidi sasa nipunguze muda wa kuangalia movies ili nikutane na watu wengine wengi zaidi.
  11. T

    Tz No 1 Ladies Player of All Times! Ujuzi wake haukamatiki...

    Even if siwezi kuzisoma post za @lara1, but stil I know you (lara1) are good JF figure with nice stories.
  12. T

    My Wife Refuse to Travel by Bus

    Asante sana kwa kunishauri vizuri, ila siamini kama nina ujasiri wa kumnyima haki yake ya msingi. Mapenzi hayana formula wala timetable. Siamini kama anaweza kuja na topic kama hiyo kwani najiamini sana hapo naye anajua vizuri kuwa mom yuko vizuri.
  13. T

    My Wife Refuse to Travel by Bus

    Ni kweli Mkuu Smile, haswa inapokuwa ni suala la kuongeza kipato. Na hata kama si hivyo basi, sio wakati wote mtu utajisikia kusafiri kwa kutumia aina fulani ya usafiri, utajisikia kubadilisha kwa sababu fulani fulani. Mimi ni mzoefu wa safari za kila aina ila kweli mood ya kupanda basi...
  14. T

    My Wife Refuse to Travel by Bus

    Ajali ni ajali tu isipokuwa Bibigula ule muda wa kuwa barabarani na kama kuna alternative way kuwahi kutengeneza hela, hapo sioni shida.
Back
Top Bottom