Recent content by ThaGreatman

  1. T

    JamiiForums Tanzania Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?

    Una Uhuru wa kujieleza, lakini hiyo orodha yako na sababu za vifo vya ulio wataja una hakika navyo? Au na wewe unazungumza kwa sababu umesikia "wakizungumza"? NI kweli watajwa hawapo/hatuwaoni, iwe wamekufa, wametoweka, au vyovyote vile, haupaswi kuzungumza jambo usilo na ushahidi kamili...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Kaka hii gari haujaiuza mpaka leo? Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Selcom machine inauzwa

    Hivi ndiyo za kuuzia umeme wa luku na nini tena?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Nidhamu,uchapa kazi na utii tu... Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kafanya alichofanya Mzee Mohammed Kissoky miaka ya 70 Bukoba

    Mtoa mada kitu pekee ulichokisahau/kujisahaulisha ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mahitaji uliyootodhesha (vitenge, chakula, maji n.k) na aina ya uongozi unaojengwa kwenye msingi wa katiba, ndiyo maana upatikanaji wa kiongozi/viongozi unafuata katiba na sio namna nyingine yeyote...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Miradi mikubwa ya Hayati Magufuli ni majanga yajayo ya kiuchumi

    Lissu ameanza siasa zamani sana, kwa wanaomfahamu alianza kukinzana na Hayati Benjamin William Mkapa, enzi za uwekezaji wa madini ya dhahabu, (tafuta article inaitwa "The golden opportunity", utajua Lissu hakuanza kupigia kelele rasirimali wakati wa Hayati JPM, mara zote amekuwa against maamuzi...
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu hakika nawaambia kupitia hili nimejifunza....

    Ndiyo hivyo mkuu Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ni bora niahirishe kuoa tu

    Hahahaaa Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nauza Chumba + Vitu vyake Mwenge Mpakani

    Hahahaaa, volume? Haisikiki? Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nauza Chumba + Vitu vyake Mwenge Mpakani

    Dogo alishauza hii aisee! Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The reason to why I didn't marry you!

    [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The reason to why I didn't marry you!

    Ahsante sana kwa salam... Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The reason to why I didn't marry you!

    Nimekukumbusha wapi mzee Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The reason to why I didn't marry you!

    Ndiyo hivyo tena, maisha ni safari ndefu Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The reason to why I didn't marry you!

    Hiyo ilikuwa majira ya saa kumi na moja jioni, taa zilikuwa off kabisa! Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom