Vijana wenzangu hakika nawaambia kupitia hili nimejifunza....

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
4,083
2,000
Nilishasema humu. Nikituma kwa mwanamke 50 basi na mama nitume 50. Kama siwezi kufanya hivyo basi jaribio hilo linishinde.

Hawana shukrani mbuzi hao. Mama zetu wanasali usiku kwa ajili yetu ila sio hao raia. Shenzi.
You have a point bro. Wazazi ni kila kitu
 
Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
4,083
2,000
Sasa mtj
Mkuu. Kama mchumba wako mtarajiwa hana tabia ya kushukuru anza kumfundisha kwa matendo.

Ukisema umkimbie utaenda kukutana na bedwetter. Utakimbia utaenda kukutana mlozi. Utamkimbia utaenda kukutana na hasiyejua kupika.

Ni lazima ifike mahali tujifunze kuwakubali wenzetu na kuanza kuwa shape katika hali au mtazamo ambao tungependa wawe nao.
waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi, sasa mtu hajafundishwa na wazazi wake mimi tuliekutana ukubwani nitaweza kweli. Nitafute pesa, nimpe na bado nimfundishe jinsi ya kushukuru.
Hapana Asee..
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,031
2,000
Sasa mtj waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi, sasa mtu hajafundishwa na wazazi wake mimi tuliekutana ukubwani nitaweza kweli. Nitafute pesa, nimpe na bado nimfundishe jinsi ya kushukuru.
Hapana Asee..
Sawa mzee father. Waleo vizuri wanao wakue kwa kimo na maarifa
 
Karma

JF-Expert Member
May 20, 2019
23,005
2,000
Wanaume kama wewe ndio mnaowaharibu wanawake.

Imagine mwanamke yeyote adate na wewe kwa miaka mitatu na kwa mentality hii ya kulea upuuzi wake, siku akiachana na wewe akaenda kwa mwanaume asiyekubali kulea upuuzi si lazima ampe shida? Kwa maana anakuwa ameshozoea kufanya upuuzi halafu anavumiliwa!
Huyo asiyetaka huo 'upuuzi' ndiyo atamfanya auache
 
padlock

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
314
500
Jana nimeamka asubuhi nikatafakari kwa kina sana juu ya maisha haya. Kubwa zaidi ni namna aliyewahi kuwa mpnz wangu aliponishambulia sana kuwa nimempa pesa kidogo,(aliniomba 150,000/= lakini mimi nilimpatia 100,000/=) kwa sababu nilikuwa najua kabisa kuwa ana pesa yake nyingine nyingi tu,kwa hiyo nikafanya jaribio la makusudi kuona reaction yake ingekuwaje baada ya kumpa kiasi pungufu na alichokiomba!

Lahaulaaa,lawama nilizopokea sasa....,"haujali shida zangu, najua unanikomoa, sawa,ila kumbuka mimi ni mke wako mtarajiwa,kama leo hii unashindwa kunisaidia 150k,sijui huko baadaye itakuwaje"

Nilipomaliza kusoma meseji nilivuta pumzi nikazifuta zote,nikajisemea moyoni,kuwa huyu hanifai kabisa....(na ndiyo ukawa mwisho wa mimi na yeye,japo mpaka sasa sijamwambia chochote)

Kilichofanya nije hapa ni baada ya kuamua kumtumia mama yangu mzazi kiasi cha sh.ELFU HAMSINI TU YA MATUMIZI,maombi niliyopokea hakika niliumia sana moyoni,sanaaa,kwamba mpenzi wangu nilimtumia sh.LAKI MOJA akaishia kunilaumu na kunisema sana,lakini mama yangu nimemtumia sh.50k shukrani alizotoa ni nzito sana! Hii imeniongezea hasira juu ya wanawake wasioridhika na kingi tunachowapatia,ilhali wazazi wetu wanapata kidogo na bado wanashukuru kweli kweli!

Haya ni maombi ya mama baada ya kutumiwa kiasi kidoogo sana cha pesa
Vijana wenzagu,tuwakumbukeni wazazi wetu wana baraka nyingi sana kwetu
View attachment 1206408
TATIZO VIJANA WENGI WA KIDIGITALI WANAAMINI KTK KUPENDWA KWENYE KUTOA PESA KWA MWANAMKE, SI RAHISI KUPATA KWELI YA MAHUSIANO KAMA UNA ULEVI KTK UTOAJI WA PESA, HESHIMU SANA ELA UNAYOTOLEA JASHO NA YOYOTE ASIERIDHIKA NA KIDOGO APATACHO HAWEZI RIDHIKA NA KIKUBWA, ZAIDI YAHITAJIKA BUSARA KUISHI NA KUMJUA MTU ULIE NAE, MWANAMKE ANAYEKUPENDA NA KUKUHESHIMU HAWEZI ROPOKWA NA KAULI HIZI HATA KIDOGO.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,514
2,000
Jana nimeamka asubuhi nikatafakari kwa kina sana juu ya maisha haya. Kubwa zaidi ni namna aliyewahi kuwa mpnz wangu aliponishambulia sana kuwa nimempa pesa kidogo,(aliniomba 150,000/= lakini mimi nilimpatia 100,000/=) kwa sababu nilikuwa najua kabisa kuwa ana pesa yake nyingine nyingi tu,kwa hiyo nikafanya jaribio la makusudi kuona reaction yake ingekuwaje baada ya kumpa kiasi pungufu na alichokiomba!

Lahaulaaa,lawama nilizopokea sasa....,"haujali shida zangu, najua unanikomoa, sawa,ila kumbuka mimi ni mke wako mtarajiwa,kama leo hii unashindwa kunisaidia 150k,sijui huko baadaye itakuwaje"

Nilipomaliza kusoma meseji nilivuta pumzi nikazifuta zote,nikajisemea moyoni,kuwa huyu hanifai kabisa....(na ndiyo ukawa mwisho wa mimi na yeye,japo mpaka sasa sijamwambia chochote)

Kilichofanya nije hapa ni baada ya kuamua kumtumia mama yangu mzazi kiasi cha sh.ELFU HAMSINI TU YA MATUMIZI,maombi niliyopokea hakika niliumia sana moyoni,sanaaa,kwamba mpenzi wangu nilimtumia sh.LAKI MOJA akaishia kunilaumu na kunisema sana,lakini mama yangu nimemtumia sh.50k shukrani alizotoa ni nzito sana! Hii imeniongezea hasira juu ya wanawake wasioridhika na kingi tunachowapatia,ilhali wazazi wetu wanapata kidogo na bado wanashukuru kweli kweli!

Haya ni maombi ya mama baada ya kutumiwa kiasi kidoogo sana cha pesa
Vijana wenzagu,tuwakumbukeni wazazi wetu wana baraka nyingi sana kwetu
View attachment 1206408
Duuuu.. speechless
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
2,588
2,000
Nyie ni wageni na wanawake yaani hao msiwe mnawachukulia serious na kuwaweka vichwani hata wanaoitwa wake wote ni kundi moka

Binafsi ni mbabe huwa sijaligi wala kusikiliza Sana filimbi za wanawake.

Kuna kamoja nilikatoa buku 5 hadi leo hii naiwaza
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
2,588
2,000
Mkuu umenikumbusha nilikuwa na mwanamke mmoja mama yangu alikomaa na mm nimuoe,alikuwa jobless kwa hiyo tukikubaliana nimsapoti laki kila mwezi.
Nikatuma mwezi wa Kwanza hakusema asante Wala nimepata.Sikumuuliza kabisa
Mwezi unaofata nikashusha dau kufika 50,000 akaniambia mbona Umetuma nusu?
Nikamwambia Kumbe na ile nyingine ulipata Kwanini hukusema japo Asante ya kinafiki?akanijibu"yani Unaona hiyo hela ni nyingi kwamba ntajengea nyumba Ndio maana nikushukuru?"nikapiga tigo wakanirudishia na tukaishia pale pale.
hao wasomi watawaua mimi huwa nasema rudisha baba yako akutumie

Wala nisingerudia yaani mwenzenu huwa ni mwepesi wa kugundua hata tone ya mtu..Ukitaka ujue mwanamke akiwa mwepesi wa kuomba samahani ujue ni mtu wa kujali tofauti na hapo ni shida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom