Recent content by thaddeus

  1. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji kibiashara.....

    Habari Ninafikiria kuhusu kufanya mradi wa ufugaji wa mbuzi, kondoo na ng'ombe wa kienyeji katika shmba kuliko likae idle. Wazo nililonalo ni kuanza na mbuzi jike 15 wa kienyeji na dume moja chorata (Malya Blended kutoka TALIRI) pia kondoo jike 10 na dume mmoja. Kwa upande wa ng'ombe...
  2. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais Uhuru Kenyatta atoa Salaam za Rambirambi na Misaada kwa wahanga

    Thanks for your cordial support Mr. President....
  3. thaddeus

    JamiiForums Tanzania MSc Epidemiology and Applied Biostatistics VS Masters in Official Statistics

    Naomba msaada wenu wadau katika kujua Programme sahihi zaidi katika vyuo vya Tanzania na uringo wa vyuo vya Africa Mashiriki lakini zaidi soko la ajira kwa Eastern Africa Zone.
  4. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Master degree ya biostatistics and epidemiology

    Mimi mwenyewe ni mdau sana wa hio programme na nimesoma BSc Statistics. KCMC wanatoa MSc Epidemiology with applied Biostatistics, Muhimbili na SUA wanatoa MSc Epidemiology,kwa Makerere University wanatoa MSc Clinical Epidemiology and Biostatistics na Nairobi University wanatoa MSc Medical...
  5. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ushauri kutoka kwa wataalamu wa Afya

    I am a graduate of BSc Statistics and I am so much interested in becoming the health researcher (Bio-statistician), I do seek the advice from professionals of health over two matters; a) My suitability in the programme called MSc Epidemiology and Applied Biostatistics which is offered at KCMC...
  6. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ya Nyerere USSR, Mwinyi USA, Mkapa Japan, Kikwete Malaysia na Magufuli Rwanda

    Salaam.. Nadhani kuna kila haja ya kumpa Mhe Rais muda. Na la msingi zaidi ni wataalamu waliomzunguka wamshauri vyema katika kufikia malengo yake, Naamini kwa binafsi yangu kuwa Mhe ana nia nzuri ya kulifikisha taifa mbali katika sectors mbalimbali na zaidi ikiwa ni kuipaisha nchi mpaka kufikia...
  7. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Shukrani sana mkuu nmeielewa vyema
  8. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Shukrani mkuu nimekuelewa.
  9. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Shukrani nimekuelewa mkuu
  10. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi ni kijana niliye hitimu katika shahada ya takwimu... Kwasasa Niko kijijini na nina mpango wa kuanzisha project ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara Zaidi kwa mtaji wa laki nane... Naomba kufaham yafuatayo kupitia jamvi hili maridadi : $ mambo sahihi na basic ya kuzingatia mwanzo wa...
  11. thaddeus

  12. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Naamini hata Hayati JK Nyerere angelikuwepo leo tukamkabidhi nchi Watz tungeliishia kulalama..... Kwa maoni yangu: kwanza tukubaliane katka jambo moja 'as long as one is a human being, fragility is his /her virtue'.... Naomba tutegemee negativity zaid ktk maagizo na hotuba za Amiri jeshi...
  13. thaddeus

  14. thaddeus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

    I heartily thought we may have to take much time discussing about the prosperity of East Africa Region instead of competing on useless matters.... Let's change our mindset n stick on how we can unite n be one for flourishing our region both in social n economic platforms..... Au ndo mnataka...
  15. thaddeus

    JamiiForums Tanzania Seeking advice from health proffesionals

Back
Top Bottom