Recent content by th3think3r

  1. th3think3r

    Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Msamaha ni 1/4 ya adhabu ilyobakia
  2. th3think3r

    INATOSHA: Asante Mbowe, Maalim Seif, Zitto, Mbatia, Lissu, DENI limebaki kwetu wananchi

    Hitimisho lako limekinzana na hoja yako yote
  3. th3think3r

    Sumatra angalieni ubora wa usafiri kwenye barabara ya Kigoma-Mpanda-Rukwa

    Habari za muda huu wanabodi Ningependa kutoa rai yangu kwa taasisi inayoshughulika na maswala yote ya usafiri hususani kwenye barabara hii tajwa. Unakuta wenye magari mbali na kujua kwamba njia ni mbovu lakini wanajaza na kusimamisha abiria wengi sana. Ukiangalia ubora Mdogo wa barabara hii...
  4. th3think3r

    Mchele tsh.2500, sukari tsh 3000 kilo, mafuta ya magari 2600 lita; Rais Magufuli umepunguza mfumuko au umeongeza?

    Kumnyonga rais kisa Bei ya Mafuta , ni kutofuatilia soko la Mafuta la dunia
  5. th3think3r

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    If you argue more than you fornicate ... There is a problem
  6. th3think3r

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Mostly zege is preferable because maintenance yake haipo as complicated as asphalt. And oil spillage which mostly affects the Tarmac can easily be controlled. But pia load transmission yake huwa inaishia kwenye zege pekee so it does not affect the sub base,sub grade and other layers. So for...
  7. th3think3r

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Dude, chillax.. you are drifting away..
  8. th3think3r

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Hapana. Sio kweli. Unaweza tumia Asphalt concrete (lami) ambayo ni flexible pavement au ukatumia rigid pavement ambayo ni zege. Yote haya inategemea na consultation done na oesa iliyopo. Zikifanywa kwa ubira.. zote zinafaa.. kuna sababu kwanini inatumika zege ila sio hiyo uliyotaja
  9. th3think3r

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Relathieves [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. th3think3r

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Allocating of special lanes specifically for BRT is one step. You need to have a civilized drivers in order to use such kind of lanes on the road. On the other hand.. BRT is a system. . Independent system in the transportation mode. You can have it in separate infrastructure as in DSM or you...
  11. th3think3r

    Kuna Haja Ya serikali na Wakala wa viwango kufanyia kazi Jambo hili

    Habari wana Bodi. Nimeona ni vema nikiweza lisemea hili, labda linaweza toa ufumbuzi na unafuu kwa watu wengine pia. Swala la manunuzi kwenye mitandao, inabidi litazamwe kwa jicho angavu maana kumekuwa na hali ya kutojali thamani ya pesa ya mnunuzi. Siku si nyingi niliweza kufanya manunuzi...
  12. th3think3r

    Mkapa: Watasema nalalamika lakini na mimi ni raia nina haki

    That phrase is very Powerful
  13. th3think3r

    JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Sasa hivi ni 2018. Hakuna lililofanyika. Hakuna cha damu kumwagika hakuna cha nini.
  14. th3think3r

    Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

    Kubuni ni jambo jingine. Kutekeleza ni jambo jingine. Unakumbuka Mkukuta na mkurabita?
Back
Top Bottom