Recent content by Tgosbert

  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Hayo ni matokeo ya kata moja tu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina na majina ya mabodi ya magari mbalimbali

    Hizo ni hatchback
  3. T

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Leo nimeimwaga rasmi Oil ya 20w50 kwenye baby walker yangu 1zzfe 1790 niliyoshauriwa kipindi choote na fundi wa chin ya muembe baada ya kusoma uzii huu mwanzo mwisho nimeweka total 5w30,,,nitawapa mrejesho chochote kitakachojili
  4. T

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Msaada unwezaje kujua oil ni fake?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Nimesoma Uzi wooote kwa kweli ubarikiwe Sana kichuguu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Bei halisi ya Toyota fielder ya 2008 Ina bei gani kwa Tanzania sio kwa mtu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mwanzoni yalikuwa yanadondoka kawaida sikuwa na shaka sana, Ila sasa yaani yanadondoka mengi mpaka unakuwa kelo kwasababu eneo lote ni manyoya tu hadi kwenye chakula
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mbwa wangu Aina ya Germany Mbwa wangu Aina ya Germany shepherd anadondosha manyoya mengi sana tatizo ni nini?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki Toyota Filda humu?

    Ilighalimu ngapi mpaka bongo? Namaanisha cig yake na ushuru
  10. T

    JamiiForums Tanzania Napata gari gani hapa mjini kwa bei ya mil 10 - 13?

    IST ni hatchback
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Sawa,Asante sana
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Jamani poleni na shughuli na miangaiko ya siku, naomba kuuliza Jambo moja,nimejaribu kufatilia gari moja Aina ya Toyota fielder lakini Kuna vitu sijavielewa nimeiona Kuna engene tofauti tofauti MF DBA-NZE141G,DBA-NZE161 G,DAA-NKE165 G lakini zote 1490 cc hivi ni vitu gani na vinaelezea nini?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    Toyota fielder kwa sasa Zina bei gani mpaka imefika mkononi
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Wahuni tu hawa jamaa!
Back
Top Bottom