Recent content by TGB

  1. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Me hata juice kutengeneza nisingekusaidia
  2. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    Sasa si akuombe, au na wewe ukiombwa unampiga kalenda sio za nchi hii
  3. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo, ninachokiamini kinaweza kikawa ndio kweli?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    Ndio maana mtu unatakiwa sana kulinda moyo na akili visijeruhike, how? Mtu/binadamu anaweza badilika mda wowote so USIWEKEZE matarajio makubwa sana kwake. Japo watu wazuri bado wapo lakini.
  5. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Pole sana mama and relax.. Do not stress your self USIJE HARIBU afya yako mentally physically and psychologically
  6. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

    Hayanaga formula mkuu
  7. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Yaani kama alipata NGUVU ya kumuingjza mwanaume mwingine ndani kwako hamna kitu hapo!
  8. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Duh kwa hiyo mwanamke ni bidhaa
  9. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    Duh sasa si mmeshazeeka sana lol [emoji849]
  10. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

    Dada inaonekana moyo wako ni WA chuma na umejenga kutu!!
  11. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Sasa umelileta hilo jambo huku la nini!! Eniweiz, hivi unapata wapi nguvu za kwenda magetoni kwa kijana 'uliyemchukulia kama kaka yako'!?
  12. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni siku ya tatu leo jirani yangu amenikasirikia nashindwa kuelewa sababu kuu ni ipi kati ya hizi?

    Duh, hivi hauna mambo ya msingi ya kufikiria Binti?
  13. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Pole sana broh
  14. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

    There is something fishy behind... Yaan kuna kautata flani hivi juu yake, Either atakuwa yuko na family yaani kaoa ila anaona unafaa kuwa side chick mzuri baada ya kukupotezea mda au yuko serious na baby mama wake so anakuona kwa jicho la uside chick
  15. TGB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

    Mmmh kwa nini aseme itakuwa mwisho wa mahisiano.. Angeacha tu uamue wewe kumuandika au kutomuandika
Back
Top Bottom