Hata ningekua mshamba kutoka Kivule. Fact ni kwamba Mengi anamjua Diamond Platnumz NOW. Coz we are speaking of the Present. Either alitafuta event planners or organizers doesn't matter. Kitu pekee cha msingi unachoweza niambia nikakuelewa ni kwamba hawezi kuwa na beef na Diamond over a silly...
Mzee Mengi anamjua sana Diamond Platnumz. That is why alimualika actually alimlipa kwenda kufanya performance kwenye birthday ya mke wake kipenz bibie Klynn mwaka 2014. Habari za WCB anazo.
Nyie watu kuweni serious acheni mchezo. Alivyokua ana perform kwenye zile pubs that can't even accommodate 100 people ndo ilikua tour yenyewe ya South? Tuzo kwa kufika 5M views YouTube? Duh halaf akija apokelewe? Kwa lipi kubwa hadi wananchi wapoteze nauli kwenda airport kumsubiri? Wonders shall...
We nae kwendraaaaaaaaa
Kina 50cent, Dr Dre, justin beiber, trey songz n.k daily wanatoa videos zenye kukosa maadili na bado one of their biggest fans ni wanawake, itakua diamond na hiyo kokoro.? Muacheni Simba
We nawe acha umbea. Na kama umeamua kuwa mmbea kuwa na kumbukumbu
Kipindi Tiffa anazaliwa wala hakukua na kiki kwanza taifa zima lilikua busy na uchaguzi. Hakuonyeshwa zaidi ya kufunguliwa akaunti insta na familia nzima ilikua kimya zari alikua akileta mbwembwe hizo za kufanya mazoezi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.