Kwa Nature ya Show ya Gabon...Alikiba Angeperform wimbo Gani?

Untitled.jpg

Naona Baba Tifa akili yote haimpi kabisa. Mawazo yote kwa Akon. Lazima ifanyike connection. Gabon hiyo, kwenye rehearsal jana.
 
C2IBvsVWQAAyxlI.jpg

Jana president Ali Bongo alienda kuwatembelea vijana kwenye rehearsal ya show ya ufunguzi. Nimemkumbuka Jakaya wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom