Mzumbe wao wanaita Bachelor of Public Administration-Records and Archives Management (BPA-RAM), Utumishi wa umma wanaita Bachelor Degree in Records, Archives and Information Management na SUA wao wanaita Bachelor of Information and Records Management
Habari wana jukwaa?
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu huria mwaka wa pili. Lakini nilikuwa ninasoma bila ruhusa ya mwajiri na nilikuwa ninasomea fan nyingine tofauti na ile niliyoajiriwa. Sasa mwajiri amenipatia nafasi nikasomee course yangu na mimi wakati ni mwanafunzi wa chuo kikuu huria...
Habari wadau wa JF,
Mimi ninafanya kazi Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo hapa Morogoro kada ya Record Management. Sasa kama kuna mtu wa kubadilishana naye aje moro mi nataka aidha Dodoma, Dar, na Tanga. 0679359094
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.