migogoro mingi ndani ya cdm inayohusu madiwani hasa kwenye halmashauri za majiji ya arusha na mwanza ni kujihami kwa wabunge wa majimbo husika jf imebaini taarifa toka kwa wadau wa karibu mbunge wa arusha mjini lema anamuhofia mshindani wake ESTOMIAH mallah diwani wa kimandolu vivyo ilivyo kwa...
ni kweli mana chama hiki kinataka kuendeshwa kama familia au ukoo wa mbowe atakae kwenda kinyume afukuzwe chamani hii tabia hii imeendelea kuota mizizi sana hata wafuasi wake mbowe wameiga tabia hiyo ya kisultani na wanatumia nafasi zao kuchafua wenzao tabia hii si njema mana siku hizi...
Mkuu wetu vipi siku ulizo wapa madiwani wa Arusha hazijaisha tu kila siku unazidi kujidhalilisha mana mwenyekiti anakutumia ipasavyo kama vuvuzela angalia unajidhalilisha ili uchuje kama kitenge cha kaniki mkuu jiangalie sana unanyonya mambo kama dodoki bila kufanya utafiti wa kina, na ripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.