Ukitaka kujua ukweli wa hili jambo soma makala za kiutafiti zilizoandikwa na mwandishi mashuhuri hapa tz bwana Joseph Mihangwa,tafuta makala zake kupitia gazeti la raia mwema zinazoitwa,kifo cha karume na mapinduzi ya znz.Hapo ndio utaujua ukweli ila hizi nyingine ni porojo tu.
Ndg wanajamvi wenzangu na watanzania kwa ujumla, mi nipo hapa geita na ninafanya kazi na katibu wa chadema mkoa wa Geita ndg rogers ruhega,baada ya kuona huu ujinga uliopewa jina la tamko la chadema mkoa wa geita nimekwenda ofisini kwake na kumuuliza juu ya huu upuuzi na haya ndio ya likuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.