Recent content by Terbinaffin

  1. T

    JamiiForums Tanzania TTCL Internet kulikoni?

    Nami nawaza nihamie huko Sasa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

    Shadeeya mwanzo nilikushsuri uandae Panadol, huku-respond
  3. T

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

    Watoke tu. Na wakienda huko federshen watacheza gem zao mbili hom end awei watolewe na warudi hapa tupambane. Tuangalie mipango ya mwakani. Si wanajiona wao wanaweza mpira. Nyambaaf
  4. T

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

    Yakhheee, umeona nchechetoooo wa makameeeee. Antufunga goli
  5. T

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

    Nakushauri tu uandae Panadol mapema. Kwa sababu maumivu utakayopata jioni hayatakuwa ya kawaida.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Africa: Zesco yaichapa Yanga kwa magoli 2 - 1 na kuingia hatua ya makundi; Yanga kucheza mtoano kwenye kombe la Shirikisho

    Unauliza kwa nini mlemavu anawekwa dukani hata kama hawezi kuhudumia wateja?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Scramble ni kubwa kwenye hii web. Haipatikani
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Masihara
  9. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa sasa jifunzeni kutoka kwa komando Salmin Amour

    Mkuu nenda YouTube andika jina lake utapata baadhi ya hotuba zake
  10. T

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuachia mke wako simu yako aitumie kwa siku nzima?

    Tangia Julai 2016 hadi sasa naweza kuacha simu kwa mke wangu. Lakini kutoka mwaka 2015 kuendea miaka ya nyuma sikujaribu kuacha simu kwa wife, hata bafuni tu nilienda nayo hasa kwa vile tafutwa tafutwa zilikuwa nyingi wakati huo.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

    Mikaeli Kabombe yule mtangazaji wa Azam TV anaitaje kombora kama hilo?
Back
Top Bottom