Recent content by teopistagodwin

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ting....

    Hizi simu za kuteleza kasheshe. Ninamaanisha nimelipia king'amuzi cha TING. Subscrption ya mwezi. Bado napata chaneli mbili tu: TBC1 na channel 10 tu. Sielewi inakuaje lakini ndo siku zinakatika. Nimelipia tangu ijumaa iliyopita.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ting....

    JF nisaidieni. Nimelipia TING, monthly subscrption kwa shilingi elfu 22,000/= bado napata chaneli mbili tu. TBCI na CHANNEL 10.Malipo haya yamepitia mpesa. Loss liko wapi?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Say a word

    uswahilini tunasema, kunguru hafugiki.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mbowe, Lipumba, Mangula, Slaa washiriki

    Nimelipenda swali moja la mzee Sabodo,eti haamini kama leo hii akimuuliza JK anafikiri ni nani mrithi wake kutoka ccm. Hataraji jibu la uhakika, kwa nini? na wakati chama. hiki kinawakongwe wote hawa waliopo?mh
  5. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Tunaomba tueleze namba yako ya simu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya TCRA kuhusu ving'amuzi vya TING

    Jamani. Kuwemi na huruma TING tuliichukua kwa sababu ya channel za dini. Tuambieni lolote basi kuhusiana na ukosefu wa EATV na zinginezo. Sasa tukimbile wapi, tushuhudie nini?
Back
Top Bottom