Wana Jf naomba kujua channel zinazopatikana kwenye hiki king'amuzi cha Ting...Natanguliza shukrani!!!
kuna mkuu kajibu post yangu hapo juu niliuliza channel za tanzania kaniambia ni
tbc 1,ch 10,eatv,startv ambazo ni free
Startv haipatikan bila malipo na hata chanel 10 siku nyingine wanaikata lakin ukilipia inapatikana
kuna mkuu kajibu post yangu hapo juu niliuliza channel za tanzania kaniambia ni
tbc 1,ch 10,eatv,startv ambazo ni free
No, kama hujalipia ni tbc1 na ATN pekee. Anyway kama umekipenda karibu lkn hata tulioko huku tunatamani kutoka
Startv haipatikan bila malipo na hata chanel 10 siku nyingine wanaikata lakin ukilipia inapatikana
Ngoja niangalie sehemu nyingine inayofaa,tunashuru kwa ushauri.
azam vip
Heee!!!yameshakuwa hayo?mi wakati nakitumia mwaka jana zilikuwepo zote bila malipo!!japo startimes wana matatizo yao ila kuna uafadhari wa hizo free chanels za tz.Lakini na wao c wako ktk wale wanaotakiwa kutoa hizo chanels bure???