Samahani kwa usumbufu Mkuu, Haya maneno yote unayotoa ni kwasababu Mheshimiwa Nickson kamkalisha Mwanae kwenye hicho kiti au kuna kingine? Kabisa Mkuu, Malaika huyo kukaa kwenye kiti kinachomsaidia kuwaza chanya, kunuia makubwa kwenye Maisha yake, kuamini anapaswa kupambana asimuangushe Baba...