IRINGA MOJA
Kinachotafutwa kwa huyu Colonel Mtukufu ni huruma ya wananchi.
Nchi imemshinda kila kona sasa sifa anazotaka kulazimisha zimekwenda ukingoni.
Nani alisema Rais atafungwa kama siyo kujishtukia na kutafuta sababu.
Hao wazungu wa makinikia hata wakitushitaki kitakachotokea ni kulipa...
Jamaa wameshausoma mchezo, Colonel kazidisha chuki kubwa sana kati ya Jaluo na Kikuyu na hii inaweza kutuathiri sana sisi watz kama raia wa kawaida tunaokwenda kujitafutia riziki huko na kurudi.
Hali inazidi kuwa tete kila kukicha, kila mtu anakwambia anakwenda nyumbani, si wasomali, Kikuyu...
Na hapo ndipo Colonel Mtukufu atakapojiona mjinga wa mwisho.
Colonel anataka aweke watu wake wa kuwacontrol ktk nchi zinazotuzunguka eti anajidai nae ni Nyerere wa Leo wakati huo mfumo ulishapita na kumshinda Nyerere
Yeye mmojawapo.
Hao anaowaita majizi yuko nayo hapo kanda ya ziwa yote na ndiyo yaliyotufikisha hapa na yeye akiwemo sasa leo hii anasema atayafunga.
Sijui Harbinder na Ruge ndiyo majizi ya hii nchi?
If so, wameiba nini?
Ule ujinga na upuuzi tulikuwa tunausikia kwa kina Mobutu, Kagame, Yoweri na juzi Nkurunzinza eti na sisi ndiyotumekuja kuwa wapuuzi na wajinga kama wao na sasa tunajitahidi kuwapita.
Hii matakataka ya hizo Empire za kijinga ni ya kukwepana nayo kwa nguvu zote.
Huu ni ukweli mkuu kama huamini subiri muda utaongea.
Nyerere aliliona hili kwa jicho la kwanza kama siyo la square 1 ndiyo maana alianzia ktk mfumo wa elimu mpaka makazini
Eg:
Aliyekuwa anasoma Songea alipelekwa Dodoma, wa Dodoma alipelekwa Zanzibar, wa Zanzibar akatupwa Kilimanjaro, wa kili...
Tufight kutafuta hela ili tuweze kusomesha watoto wetu wapate elimu bora kwa sababu hata aje Mungu ajiunge na CCM na aseme ukitaka kwenda mbinguni yapaswa kujiunga nayo sitafanya hivyo milele.
Hiyo mikopo wapeane wao kwa wao CCM, mimi namuomba mungu anipe uzima TU, watoto wangu nitasomesha...
Sikio la kufa ni la kufa tu, wape kila kitu mpaka watoto wapatie lkn nakueleza kama huna akili ya kujiendeleza huna tu.
Magofu yatabaki huko kwa sababu hivyo vitu siyo asili yao.
Mambo yao waachie uchawi wenye kujua Maendeleo wakija wao watahamia misitu ya Congo
Kumbe ndiyo kashalipa title lisomwe kuliko yote.
Hivi bado colonel mtukufu ana ule ujinga kwamba kuandika bango la kumsifu ndiyo kuonekana anafanya kazi au anapendwa?
Hajui hii ni Tanzania ya unafiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.