Recent content by Tempus Fugit

  1. Tempus Fugit

    Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Space X Nedherlands ina hisa 1, Star link Netherlands ina hisa 99. Zote kampuni za Elon Musk.
  2. Tempus Fugit

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Mbona nikisoma statement ya huyo waziri sioni akisema kama mleta mada alivyosema? yeye kasema huu uwe mwisho wa mataifa hayo mawili kushambuliana na si kuwa utakuwa mwisho wa Iran.
  3. Tempus Fugit

    Baada ya matendo yake sina hisia nae tena, nifanyaje?

    Ukipata wasaa sikiliza ujumbe huu toka kwa mtumishi wa Mungu...Imani ya kuachilia machungu moyoni. Natumai itakusaidia. https://www.youtube.com/live/rQbJSVBR5Lc?si=Z4ghqDwQFHSetYNq
  4. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Unaposema kuwa huyo Mungu hayupo ni kwa vile unatumia akili yako kwa kuangalia udhaifu wa sababu za uwepo wake bado unakuwa haujathibitisha kutokuwepo kwake. Hebu thibitisha kuwa huyo Mungu hayupo with vivid reasons.
  5. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Narejea maelezo yangu ya awali kuwa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa mujibu wangu ni imani inayokuwa backed na mazingira ya kidunia tuliyomo na yale ambayo wanadamu wameweza kuchunguza na kubaini. Whereas wewe unataka kum comfine Mungu kwenye scientific methods ili uweze kubaini uwepo...
  6. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Hiyo dhana ya kitu kuwa ukweli au uongo wewe unaielewaje ili nijue kama imani yangu inaweza kuingia kwenye hizo parameters zako.
  7. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Huko anapopaita kila mahali ndiyo msingi wa mada hii kuwa pana extend hadi wapi? je kuna limit ya mahali..what lies beyond huo mwisho? Is it nothingness? If yes, how? Huko anapopaita 'kila mahali' hata yeye hawezi kupathibitisha..itabaki imani tu kuwa papo ila hawezi kuthibitisha.
  8. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    ujuzi wa uwepo wa Mungu kwangu unatokana na imani na ushahidi wa kimazingira wa vitu vinavyoonekana kwa jinsi vilivyopangiliwa kwa ustadi napata hitimisho kuwa fundi stadi aliyefanya yote haya ni Mungu tu. Huo ushahidi wa uwepo wa Mungu kwenye uwanda wa imani, hauwezi kunielewa kama haujapata...
  9. Tempus Fugit

    Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

    Kwa kifupi hayo maswali uliyojiuliza kamwe hauwezi kupata majibu kwa sasa. Ni mystery ambayo inathibitisha uwepo wa powers beyond humans. Sayansi haina majibu kuhusu hayo na inafikia ukomo kama akili zetu tu...we can never tell what lies beyond the observable universe.. Mimi binafsi napata...
  10. Tempus Fugit

    Bernard Arnault, mmiliki wa kampuni ya LVMH, ammpiku utajiri Mark Zuckerberg, na kuwa mtu wa tatu kwa utajiri Duniani.

    Arnaut mwenyewe alikuwa tajiri namba 1 kipindi fulani this year, now kashushwa.
  11. Tempus Fugit

    Ushauri kwa Wasabato

    Umesali kwa muda gani kwa hao wasabato ili kuona kama mtizamo wako ni sahihi? Maana huenda siku ulizohudhuria kulikuwa na mahubiri yaliyotokea agano la kale kutokana na mtu aliyeandaa hubiri alilitolea sehemu gani ya biblia. Maana kila andiko la Mungu lafaa kwa mafundisho...haijalishi...
  12. Tempus Fugit

    Najuaje kama imani ninayoifuata ni ya ukweli?

    Kama ni Mkristo, ipime kwa maandiko, yaani biblia. Kama inaendana na vile neno linasema basi ni ya kweli. Ikiwa inakinzana na biblia, si ya kweli.
  13. Tempus Fugit

    Allergy Mafua

    Mwili wako unasumbuliwa na chronic inflammation inayopelekea Kinga ya mwili kucharuka...ndiyo maana umepewa hizo immunosuppressants. Kula vyakula vinavyoshusha inflammation ndani ya mwili...low carbs and sugars, ketogenic diet itakufaa. Mwili utakaa sawa ukitoka kwenye hiyo chronic...
  14. Tempus Fugit

    Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Hizo hasira si za kawaida. Zisipodhibitiwa zitakuponza someday. Utakutana na mtu akupige au utapata kesi ya jinai...
Back
Top Bottom