Hayo ndiyo mambo na vijimambo vya ccm, wameamua kutufanyia unyama watanzania wenzao, Arusha munayo bahati kuwa mambo yenu yanatangazwa, lakini Mtwara wanatuua kimya kimya kila siku tunapigwa na kuteswa na vyombo vya ulinzi na usalama eti kwa sababu ya kutetea haki ya gesi