Recent content by TEMILUGODA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka lakini hakuna mabadiliko!

    Nchi hii JK aeleze wazi aliwezaje kwa miaka yote kumi kufuata sheria ya increment? Having Haiingii akilini hata kidogo wafanyakazi wamekuwa vikaragosi'alijisemea Hayati Augustino Mrema',kwa maana wafanyakazi wamekuwa wanyonge hasa chini ya mwamvuli wa TUCTA, shirikisho la wafanyakazi hewa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Maisha bora kwa kila mtanzania aliweza Kikwete tu

    Huu mi mwaka wa nane hakuna increment kwa watumishi. JK miaka kumi ya utawala wake aliweka increment kwa kila mtumishi wa serikali. Achilia mbali kupandisha mishahara kwa kuwango cha juu kabisa. Ni vigumu kusema hili, lakini JK kwa uliyotenda kwa watumishi ni alama ambayo hakuna hata Rais...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Utumishi Simbachawene, ni kweli teuzi za rushwa zilikithiri

    Lakini kuna ujumbe umeupata
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Utumishi Simbachawene, ni kweli teuzi za rushwa zilikithiri

    Alizungumza na maafosa utumishi na viongozi wa tsc kutoka halmashauri zote jijini Dodoma kuwa wale wote wana toa vyeo kwa kada zao wakome vitendo vya Rushwa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Utumishi Simbachawene, ni kweli teuzi za rushwa zilikithiri

    Bila maneno mengi nakupongeza sana mheshimiwa Waziri George Simbachawene kwa kumulika hili. Nchi hii wapo wakuu wa idara mbalimbali na wasaidizi wao ambao wapo waliopo kwa faida ya Rushwa. Wapo walio toa pesa na wapo walio toa ngono hadi ndoa kuvunjika. Kwa agizo lako mheshimiwa najua wahusika...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    You are extremely wrong
  7. T

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

    Wimbo ulio toka juzi wa Nipeni Maua Yangu Kuna sehemu ROMA yeye amechagua siku uchaguzi ukija hapa Tanzania basi hatachagua CCM bali atachagua JIWE kwa kuwa kiongozi wa vyama pinzani DJ amebwafa manyanga. Kwa muktadha huo wa ROMA hata mimi nawashauri wengine wanaodhani siasa ni mpaka kiongozi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Hakuna mtu aliyewahi kuthubutu kuandamana kwenda Ikulu zaidi ya ACT Wazalendo

    Acha upumbavu wewe kwanza hata historia ya nchi yaonekana huijui ndo maana unaitwa Nondo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Kuanzishwa miradi mashuleni nayo mpaka Rais wa nchi?Basi hakuna haja ya kuwa na viongozi wa ngazi za chini. Mama kawaputia wafanyakazi tahfifu baada ya kupigika kwa miaka saba
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Yaani Hadi tume iliyoundwa kukasimu nyongeza ya mshahara mnadhani haukuwa terms?Acheni Serikali ithamimi watumishi wake positively.Asingeongeza mngesema Serikali haijali wafanyakazi
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Watu wa kulalamika kwa kila Jambo litendwalo na Serikali hataisha.Yaani Serikali imeamsha ari kwa wafanyakazi wake lakini BADO Kuna watu hawaoni jitihada hizi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kwani hamkuona au kusikia baadhi ya waheshimiwa wakimwita yule Mheshimiwa Mungu?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Hilo ni pigo kubwa kwa watumishi ndani ya muda mfupi.Mchengelwa kwa kuwajali watumishi alileta tabasamu kubwa kwao,Huyu anaye kuja ni mtu ambae watumishi wanamjua kama mtu ambae hana uthubutu wa kuwatetea wala kuumia kwa shida za watumishi.Nfio maana unaona watumishi wamenyong'onyea ghafla
Back
Top Bottom