Recent content by TEMBOPHD990

  1. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    natuma meseji sijibu nakula buyu afu nilimuweka kwenye nafasi ya kuwa mke sasa vitu vidogo tu hivi😀😀
  2. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Dem jambo dogo anaongea kama nini Nisingeweza kabisa nilimjaribu kumwambia sina kiasi ambacho anahitaji kwa uwo wakati nimpime atasemaje baadae nakuta vn kwa watsapp kama nne ananilalamikia
  3. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

    Mwanzoni umeelimisha vizuri sana lakini wanawake siku zote awana mbadala kwenye swala linalohusu tendo Penzi la mwanamke na penzi la awa poa lina interval kubwa sana kwenye ku enjoy itoshe kusema mwanamke asimame kuwa mwanamke kwenye tendo lakini awa poa uchafu na ni mwiko
  4. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huu ni ugonjwa gani sehemu za siri?

    Mkuu kwanza pole lakini hiyo ni STD sijui ulifanya uzinifu lini lakini tuache hayo inaitwa genital herpes Mara nyingi husababishwa na maji maji na iwapo tu mtu unae shiriki nae tendo ana izo pia kwahiyo usipokuwa makini kwenye tendo au kutumia kinga kwa usalama ndio utokea hivo Unaweza tumia...
  5. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Me zote zimepeleka zote sasa mpk uyo mbeya city na geita
  6. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Niwape wa leo[emoji851]
  7. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka mmoja ushapeleka tayr uku
  8. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpeni azam ashinde au i draw Afu mpeni coanstal ashinde mazima
  9. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Labda kaka wewe ndio unisaidie Usikute hata hizi terminology tatizo
  10. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nitaleta yangu kesho nilivyomla mtoto wa muuza madini mpaka baba ake alinitishia kuniua....
  11. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oyaaaa atuandiki essay apa kwamba utapata makisiiiii [emoji23][emoji23][emoji23] Stay in your lane ya story [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nakumbuka kipindi cha Easter mtoto flan anasoma hombolo dodoma tulikuwa tumepotezana kipindi tunasoma mbeya nikamuomba appointment mara ya kwanza alikuwa ana nata sana (anazingua) lkn mwanaume nikasema furesh Siku kaja mjini kanicheki ile mnyamwezi nipo na geto safi nini nikapiga nae story...
  13. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oyaaaa nipo tunduru pia ujue.....
  14. TEMBOPHD990

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oyaaaa nipo tunduru pia ujue.....
  15. TEMBOPHD990

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Wizi wa Benki

    Wakati wa Uvamizi wa Benkii nchini fulaniii majambazi waliwaambia kwa sauti watu waliopo Mule benki "Musisogeee hata kidogo maana Pesa ni mali za serikali ila uhai wako ni ni mali yako " Basi kila mtu alilala chini kwa haraka na kila mmoja alikaaa kimya Hii inaitwa " KUMBADILISHA MTU AKILI "...
Back
Top Bottom