Ni hivi nimekuwa na mahusiano na mwanaume ambaye tulitengana kwa miaka kumi, na mwanaume wangu wa kwanza nilimpenda sana.
Lakini kuna mambo yalitokea tukatengana akawa na ana watoto wawili sasa, karudi kwangu anataka kunioa as nikimuuliza mkewe hataki kuwa wazi, ila mwili na moto vyote...
Wake za watu bwana...
????kama we unaona fahari kuwa MKE ni ww,unavyo jiskia ww na huwez kujisjlkia kama Mimi
Sikatai unacho amini na halo ndipo tofauti yangu na we inapokuja hapo unaamini latka ndoa I don't.. Hapo tu na kama mapenzi napata kama wewe kwa ajili ya maumbile lakini ndoa...
Kwani hiyo quality time nikwangu pekee????
Hata yeye anatumia pesa muda kupata hicho nacho MPA kama hakina maana si ange baki na mkewe wa cheze kombolela
Mwanze nyie kubadilika alafu michepuko tutakosa wa kuchepuka nae...
Unafikili mila mwanamke anatamani ndoa????
Kuna watu wamezaliwa kuwa wake,ndo hao wake zenu
Nakunawengine hawezi kuwa mke ,kwahiyo yuko okay tu kuwa mchepuko na wala hakuna regrate...
Nikweli kabisa ila kwayule anaye jua na kujitambua kuwa yeye ni mchepuko na so MKE na hawezi kuwa MKE anaweza......ila kwa wale wanao jisahau nakudhani anaweza kumwamisha kabisa kutoka nyumbani kwake kwa familia yake hawezii....awaachie wanaoweza
Unaongea kama huna kichwa bwana...kwani yeye robot atakapo niacha navaa diapers yeye atakuwa mzima?hahahaa likewise Mimi naweza kumfanya ashindwe hata kuzivaa hizo diapers.
Tatizo mnaangalia upande mmoja tu kwani katika maisha hakuna wanaolia kwa kutendwa na wanawake na hao michepuko....wapo...
Haaaaa ....!mi huwa nawashangaa sana wanaosema eti wanawake wanao chukua waumeza watu wabaya,ubaya anaacha kuambiawa aliye nifuata naambiawa mimi,kwan yeye hakujua kama kaowa.
Eti ananitumia ...
kwani ni wanawake tu ndo wanao tumiwa hata wanaume nao wanatumiwa namtumia ananitumia tunatumiana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.