Recent content by tembojike

  1. T

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nimenunua kifurushi cha 20000 maana yake ni Uhuru, lakini mbona nikienda kwenye baadhi ya Chanel zinagoma zinasema, this channel belong to Uhuru plz recharge, mini naana yake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari, Nina maswali mawili,1 naomba kujulishwa vifurushi vyenu na bei zake, 2
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    We kila mtu afuate yake kwa utashi wake, we wakitembea uchi unapungukiwa nini? Au unatamani,
  4. T

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    Hui nchi nani katuloga jamani? Gesi IPO hata kabla ya Uhuru,sasa dharura inatoka wapi? Nchi hii jamani puuuuu
  5. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha wagoma, Umeme wakatika masaa 24

    Yaani ni kero balaa, sijui ni mgao au? Yaani hii nchi hapana mi sina tu uwezo wanakera mpaka basi, yaani mpk nadiriki kusema bora alieibua issue ya escrow asingefanya hivyo, wakati wa muhongo hii migawo ya hovyohovyo waliiacha,
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta mengi; Ushauri mafuta gani nitumie?

    Nimesoma mahali Kuwa baking soda ni alkaline so INA disturb PH ya USO inaifanya ngozi I we rahisi kushambuliwa na vt kama chunusi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wadau mje mtujuze

    Kwenye uke
  8. T

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta mengi; Ushauri mafuta gani nitumie?

    Ungetoa solution kwenye forum tufaidi wote
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta mengi; Ushauri mafuta gani nitumie?

    Tumia vitu vya asili vya kupunguza mafuta kama Limao changanya na ute wa yai, au tumia product za tea tree zinasaidia pia
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wadau mje mtujuze

    Je ni kwa Nini kuna siku mwanamke huyohuyo kuna siku anakuwa wa baridi siku zingine wa moto, NN kinasababisha
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya Ukamataji magari Arusha

    Hakuna mji unanikera kama arusha,
  12. T

    JamiiForums Tanzania barabara za jiji la Arusha zinakera sana

    Huu mji ni kero sio daladala tu ht wenye gari private unakuta kapaki barabarani anamuongelesha MTU, yaani in kero Huu mji hauna sheria, raia wanafanya watakavyo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Arusha hali ya umeme ni tata

    Hii nchi acha tu watu wanafanya watakavyo no kero,wakutaarifu we nani?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Meno kuwa kahawia

    Kazaliwa arusha/moshi? Kama kazaliwa huko no way, labda yasafishwe lakini yakisafishwa yanakuwa weak na anatakiwa arudie Mara kwa Mara, nasikia pia maziwa fresh akinywa kwa wingi yanasaidia
  15. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

    Mi wamenichosha yaani juzi nimenunua mud a Wa maongezi kwa mpesa,mpesa imeliwa simu hela hakuna,hy issue ya Kuwa hela unajiunga inagoma hlf unakuta hela yote hakuna ni kawaida sana,sijui mtandao umedata unachanganya na waliokopa,Nina maswali nakosa majibu
Back
Top Bottom