Recent content by tembizo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuongeza pesa kwenye akaunti yangu ya paypal

    nina account ya paypal na tayari nimeshaweka paypal code ambazo wanatuma kwenye internet banking ila tatizo sioni link au sehemu ya kuhamisha pesa kwenye banking account kuja kwenye paypal account... naomba msaada kwa hiloo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalaamu wa blog Naombeni sanaa mnisaidie kwa hapa

    weka post za kutosha na kingereza zisopungua manene mia tano kila post
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalaamu wa blog Naombeni sanaa mnisaidie kwa hapa

    weka post za kingereza zisopungua manene mia tano
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza idadi ya Likes kwenye Page ya Facebook ?

    kwa ajili ya biashara zangu kaka
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza idadi ya Likes kwenye Page ya Facebook ?

    5us dolar kwa siku ni fb likes ngap??????
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza idadi ya Likes kwenye Page ya Facebook ?

    jamani naomba munisaidie njia za kuongeza fb page likes bcz naona watu watu hawaongezeki kabsa
  7. T

    JamiiForums Tanzania tatizo kwenye google adsense account

    nina google adsense account ila nashindwa kulink na google analytic ya account ya gmail tofauti na hiyo ya adsense... msaada
  8. T

    JamiiForums Tanzania tatizo kwenye google adsense account

    kwenye account yangu ya adsense inaonyesha hivi "Your ads have recently appeared on websites you haven't authorised. To avoid lost revenue, make sure that you authorise any sites where you display ads " naomba munisaidie bcz natupia post nyingi waangaliaje ni wengi ila hamna kitu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Google Adsense

    afadhali na mimi umenisaidia kujibu swali bcz mimi nakaribia mwezi saiv ila code nado
  10. T

    JamiiForums Tanzania how to monetizing youtube account for tanzania

    nimejaribu wanasema not applicable for tanzania,, sijui inakuweje
  11. T

    JamiiForums Tanzania how to monetizing youtube account for tanzania

    huyoo nitampata vipi
  12. T

    JamiiForums Tanzania switch vpn inatumika kwa tanzania

    kupitia matangazo switch vpn inaonyesha ni bei nafuu yaani dola 5.95 kwa mwezi...je kuna mtu yeyete anyetumia hiyo anielekeze
  13. T

    JamiiForums Tanzania how to monetizing youtube account for tanzania

    nina video zangu nimetupia kwenye youtube na zina waangaliaji wengi ila sielewi jinsi ya kuomba na kupata adsense kwa youtube video ... naomba msaada wenu
  14. T

    JamiiForums Tanzania kuongeza likes kwa facebook page yangu

    nina facebook page yangu , hata nitupia post vipi like zinaongezeka kidogo sana inafika kipindi ninikata tamaa kwani ina mwaka mmoja sasa ila ni like mia tano tu
  15. T

    JamiiForums Tanzania kuomba google adsense

    ninayo blog ina mwaka mmoja tangu nianzishe ila sijui jinsi ya kuomba goole adsense.. naombeni msaada wenu
Back
Top Bottom