switch vpn inatumika kwa tanzania

switch vpn inatumika kwa tanzania

tembizo

Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
17
Reaction score
0
kupitia matangazo switch vpn inaonyesha ni bei nafuu yaani dola 5.95 kwa mwezi...je kuna mtu yeyete anyetumia hiyo anielekeze
 
Yaaah. Zipo za bei nafuu zaidi ya hiyo hadi $2.9 per month. Pia unaweza uka-google "Annual Cheapest VPN services"
Utaziona. Mfano,Kuna Private Internet VPN nayo ni about $40 Annual Fee.

Mm pia nlikuwa nnawinda ya Bei rahisi nkakutana na tangazo la "Cyber Ghost" wakitangaza offer yao ya Birthday kwa $20 Annual Fee. Nkaichangamkia na kuinunua Online juzi Mwezi wa nne. Saivi nina-unlock all Region blocked webs like(Hulu/Pandora/Spotify/sbs/Vevo/Netflix na nyinginezo nyingi kwa vile wana Server zaidi ya 300.

Faida nyingine ya kutumia VPN, taarifa zako zinakuwa encycripted,hawkers hawawezi kukuibia Data zako,hata kama unafanya Manunuzi Online.

Kwa issue ya speed wako vizuri kwa kweli(Cyber Ghost)
Thanks.
 
Back
Top Bottom