Mkuu, naona unajitahidi kuwa as strict as the Pope...lol. Any way... Tupo kwenye zama za kiliberali. Ngoja tuone viongozi wetu wa dini wanarespond vipi hapa Bishop Hiluka njoo humu...
Masanilo, njooni mumpe mwongozo muumini wenu huyu...
Sidhani kama hii ina ukweli wowote... Yani drier iunguze hadi kupasua fuvu wakati ngozi na nyama vilikuwa havijaungua! Nimechemsha sana supu, najua nyama zinaiva kabla mifupa haijalainika...
Mkuu nashukuru kwa kuiweka hii part hapa...
Lakini mbona ni introduction tu mkuu? Haijaonyesha methodology wa modality...
Binafsi I want to see numbers, I want to see percentages? Wanaposema to benefit local community, swali ni how? Kwa asilimia ngapi? na ya nini? Mapato? ajira? Uwekezaji? au...
Hingera sana kamanda Zitto... Tangu Mabere atuahidi pale Kibaha kuwa wataanza kuzunguka kijiji kwa kijiji katika kanda ya Mashariki na Pwani, bado sijawasikia wakitimiza azma hiyo... Please wakati ni sasa, kwa hapo Dar/Pwani sidhani kama mnahitaji hata perdiem...
Sawa mkuu... Nadhani tumepata pa kuanzia, na naamini serikali itachukua maoni yako.
Ingawa mimi sio mtaalamu wa masuala ya gesi, lakini in a layman language naomba nitoe maoni machache;
1. Tuliambiwa kuwa gesi iliyokwisha kugundulika hadi sasa ina thamani ya zaidi ya $490bn. Hizi ni zaidi ya...
Ila ni jumla ya kata 26 nchi nzima kama sijakosea. Naomba kujua na mpangilio katika kata zingine, maana CCM haitakiwi kuachiwa hata kata moja... Japo wapiga kura ni wale wale wa 2010, kwa maana kwamba daftari la wapiga kura halijawahi kuboreshwa...
Natamani kama madiwani 4 hivi hapa mjini kwetu nao wajiuzulu ili tupate uhondo wa hiyo timu, maana hadi nawaonea wivu wana Arusha. All the best makamanda...
Mna polisi, inteligensia na jeshi. Sasa iweje mkae mnanalalamika ovyo huku jf kama sisi. Wakamateni sasa, mtuletee na ushahidi mseme hawa hapa wanataka kuchonganisha wananchi na serikali. Sasa polisi wanalipwa mshahara wa nini kama nao Wnakaa kulalamika huku jf?!
Kwa hiyo hapa unataka kusema nini labda? Kwamba kwa kuwa yeye ni mbunge wa hilo enep basi aanze kukusanya kodi huko Hai ili awajengee nazo madawati? Maana ingawa yeye ni mbunge, TRA ndiyo inayokusanya kodi HAI na kuikabidhi kwa serikali ya CCM, ambayo ikishanunua mashangingi, ikishalipana posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.