Recent content by Telwin

  1. Telwin

    JamiiForums Tanzania Dr. Shein Alia Mgawanyiko uliopo Zanzibar

    Alikuja kuharibu tena ni rais wa Tanganyika hyo ndio alie zidisha uchochezi zaidi
  2. Telwin

    JamiiForums Tanzania Tecno wanakuletea phantom 6 inakuja na ram ya 6gb na 32gb rom

    Mbona tecno wako poa hata mm before nlisema siwezi kununua tecno kwa kulishwa maneno tecno cm mbovu lakini sio kweli wapo poa ila nataka kuwashauli wapunguze kutoa matoleo mapya kila wakati ilikuja c8ikaja j8mara c9mara c7 now phantom6 wawe makini
  3. Telwin

    JamiiForums Tanzania Mnaopenda kula matikiti maji mjihadhari sana soma hapo chini

    Mi nmpenzi sana wa matikitiki tena yanamna hiyo yanaunga sana na nimatamu toa maelezo ya kutosha
  4. Telwin

    JamiiForums Tanzania Niwatakie ndugu Waislam na wasiyo waislam Sherehe Njema za Eid el hajj

    Takkaballah minnah waminn kum
  5. Telwin

    JamiiForums Tanzania DC Hapi kuunguruma Star TVkesho saa 1:30 asubuhi

    Kwani yy ni nani akisema kuna habr zingine mue mnafikiria kwanza kabla ya kuzileta humu
  6. Telwin

    JamiiForums Tanzania Hawa Wanafunzi wanaorandaranda 24/7 hapo mwambao wa Coco Beach wanasoma wapi?

    Kwani tatizo ni nn kuvaa sale au kwenda beach
Back
Top Bottom