Recent content by TELVIN

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Ila wanasemaga wahenga kwamba msema pweke hushinda, mambo ya family matters ukiyaingilia unaweza kuta unatetea side isiyo sahihi.. Kwanini ulikuwa unapiga mwanamke...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Shehe wa msikiti wa Kimara aitaka Serikali impigie simu Allah ili awalipe gharama za kubomoa msikiti

    Miaka kadhaa nyuma kuna kanisa maeneo ya kibamba hospital nikiwa mmoja wa waumini tuliambiwa tulinomoe na walitupa muda na tilufanya hivyo sasa hawa mashehe wanakaza nini maana wakati wanajenga waljkuwa wanajua lakini!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    The majority of shareholders, kaongea nao na kama unavyojua shareholders ndio wamilik wa kampuni, labda maana inakuwa kwamba preference shareholder ndio wenye kauli kubwa kwenye kampuni kuliko ordinary shareholder!! Ila nashangaa kama itakuwa ni kweli serikali iongee na ordinary!!?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Na mimi pia sijapenda kwamba mtoaji taarifa (msamaria mwema) anatajwa kweli mimi hata nikiwaona watu nisio waelewa sitoi taarifa. Maana aliyefanikiwa toroka kama ameona hii post akiamua kudeal na jamaa si ndio shida hii sasa!?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mama mkwe amemtafutia mke wangu mchepuko

    Me namshauri aachane na huyo mwanamke aachane na tabia za kusema eti anampenda, mpende akupendaye!!!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu Sirro sakata la dereva wa Lissu ahoji walinzi wa kwa Lissu, askari polisi wa dr Kamani/Tullia washahojiwa?

    Embu wafanye wamuache Dereva ahojiwe kwann mnamzuia!!!?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Kwenye hili suala watu mnajifanya mnaijua sheria ukute hakuna hata anayeijua ambaye ansema hivyo!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Ushauri huu ndio suluhisho hakika.., ila kaka punguza kusahau sahau documents nyumbani, ukiondoka jitahidi kuchukua vikupasavyo vya kazini kabiss..!
Back
Top Bottom