Mchawi ni maarifa(ujuzi)yoyote ambayo ni amaizing kwa wengine ila unatofautiana mifumo tu ya utendaji kazi wake.
Uchawi umegawanyika katika mifumo ifuatayo
1.UCHAWI UNAOHUSISHA IMANI
2.UCHAWI USIOHUSISHA IMANI
Kila mfumo unacategories zake,kama unaelemu ya makaratasi itumie kujiuliza uchawi...
Maisha ndio haya poteza muda wako kuangalia fulani kafanya hivi.Kama unaona ni mafisadi acha kutoa sadaka yako wewe na familia yako pamoja na ndugu na jamaa zako ili kusudi wakome
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.