Recent content by teflon_don

  1. T

    JamiiForums Tanzania Chuo siendi sasa niende wapi?

    mkuu vp kama geo nna e,hist s, bt economics nna f,stl naweza soma diploma ya course za biashara?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    asante kwa ushauri mkuu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Loan board wahamia Mwenge

    lazma wajisogeze pale,na watawapata watu tu,mjini shule
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ilunga alazwa India

    kweli kabisa
  5. T

    JamiiForums Tanzania nisome koz gani nina E flat S gs na bamF HGE???

    vp kuhusu tutakao apply diploma?tena tax,co education .kuna dalili ya kupata mkopo ?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nina SSB (HGK), yaani nina principle moja. Je, napata chuo gani kozi gani kwa point hizo?

    mkuu kuhusu hiyo pre entry prgm!kama nna s 1 na e 1,naweza piga?na faculty zipi naweza pata?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    mkuu so far nataka ni apply ita,diploma ya customs and tax management,2 yrz!kwasababu malengo yangu ilikua ni kusoma hii course japo nilitarajia ningeanza bachelor but cjakata tamaa,swali ni kama na cc wa diploma tunaweza apply mkopo.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nina SSB (HGK), yaani nina principle moja. Je, napata chuo gani kozi gani kwa point hizo?

    mkuu kama una princpl 1,diploma unafaa?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Div 4 ya points 18, naweza jiunga na diploma?

    nina div 4 ya 18,bam f,gs f,geo e,hist s na economics f,naomba ushauri kama kwa matokeo haya naweza jiunga na diploma vyuo vya hapa bongo,na vp course zote related to tax?naweza pata kwa hayo matokeo au itanibid nianze cheti!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Omba omba feki anaswa......alijifanya hana mikono wala mguu

    kweli mjini shule
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuwa rais

    ngoja nijifikirie kwanza
Back
Top Bottom