Recent content by Tefere

  1. Tefere

    JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Njoo pm nikupe ABC kaka yangu ni mmiliki wa kampuni inayotengeneza viungo vya pilau vinavyojulikana kama pilau mix vyenye nembo ya P
  2. Tefere

    JamiiForums Tanzania Biashara sita (6) unazoweza kuanza na mtaji wa laki moja tu na ukapata faida kubwa

    Vifaa njoo mtaa wa Agrey na likoma
  3. Tefere

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yafuzu klabu bingwa Afrika kwa mwaka 2025/2026

    Chupu chupu ndo kitu gani?! Ila simba jana aliponea puchu puchu
  4. Tefere

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Hakuna biashara hapo,hauwezi ukawa unahitaji kitu halafu unataka wauzaji ndo waje na bei zao,weka dau lako mtu akivutiwa na ofa yako atakutafuta,me nipo manyoni nina mashine ya kukamua alizeti shudu kwangu siyo shida,lakini siwezi kukutangazia nauza kiasi fulani,
  5. Tefere

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Mtoa mada naona umeamua kufanya promo ya machimbo ya utelezi ili wana wakikatiza pande hizo waende kujisevia,naona umetoa locationi,naomba kuongezea,ukifika mbeya nenda carnival na City pub utawaokota wa kutosha,ukienda moro pitia msamvu,au Paris,mwanza wa bei cheap nenda mtaa wa...
  6. Tefere

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu Wanaoishi Dar, Arusha na Dodoma Hujiona ni "Business Class"?

    Upo sahihi kabisa,ukitoboa dar mwezi wewe hata kuzimu unaishi
  7. Tefere

    JamiiForums Tanzania Kuna mikoa kama umepangiwa kazi mwanaume mwenzangu unaweza kujikuta teyari umeshaoa bila kutarajia

    Mikoa hiyo wanawake wanajirahisi sana kwa wanaume,kama singida unaweza ukala mtu na dada yake
  8. Tefere

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Umefundisha same Dec mwaka gani?! Nimemaliza firm four mwaka 2004 Hapo
  9. Tefere

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Royal blood ni zipi
  10. Tefere

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

    Baraka au tengeru hiyo naiona hapo
  11. Tefere

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo wa Ivory Coast asema hamjui Pacome

    Michezo ipo mingi labda waziri wa michezo ya ngono,au atakuwa waziri junior huyo
  12. Tefere

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe? Bei iwe ya jumla ya shambani

    Kwa mbeya nenda umalila naamini utakuja kunishukuru, kuna viazi vingi Sana sometime vinashuka bei debe linauzwa 2500
  13. Tefere

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kwa yeyote anayejua soko la chupa take away K vant, konyagi, henken, Windhoek,bavaria,badwiser,dompo na aina nyingine yoyote anisaidie connection kwani ninazo za kutosha tatizo soko,0759656557/0775358586
  14. Tefere

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Boss naomba nicheki please 0759656557
  15. Tefere

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna kiwanda cha kutengeneza chupa?

    Boss naomba contact yako please
Back
Top Bottom