Recent content by teetotaller

  1. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Vijana hawaelewei uhalisia mkuu, matajiri wanatulipa kulingana na kima cha chini cha serikali kwenye sekta hizi....bado TRA bado uendeshaji nk,
  2. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    mitandao inawadanganya mkuu, waje mtaani waone watu wanalipwaje, viwanda vinalipaje.? mtu anashangaa degree kufanya kazi hii, nawaalika ofisini waje waone degree holder kama wao wapo na wanaendesha maisha
  3. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    karibu tufanye kazi
  4. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

  5. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    hakika mkuu!
  6. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    mkuu tena hapo nalipa vizuri sana, ingia mtaani uliza watu wanalipwaje karibu kazini mkuu, achana na maneno ya mitandao hayaleti kitu mezani.
  7. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    mkuu tena hapo nalipa vizuri sana, ingia mtaani uliza watu wanalipwaje???
  8. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    karibu kazini mkuu,
  9. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    kwani chuo ni kitu gani mkuu?? chuo kitakuletea pesa ukiwa nyumbani??
  10. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  11. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    chelsea 0:1 Atlc Madrid 2:2 inter 3:0 lille 2:0
  12. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nenda kwenye paybill kalipie huko
  13. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu nipe code nipite nayo
  14. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kila nikiiweka inanigomea, nakosea wapi?? au ishahakiwa?
  15. teetotaller

    JamiiForums Tanzania Meridianbet kama mpo humu boresheni huduma zenu mnakera

    pesa yangu ipo reserved tokea tarehe 3 haijarudi kwenye account ya merdianbet mkipigiwa hampokei, hela zetu mnakula ila nyie mkiliwa mnasumbua kutoa uzi tayari
Back
Top Bottom