Recent content by Technohama

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kwenda Arusha kutafuta maisha

    Upo sawa mkuu. Huku Arusha ni shehemu nzuri sana ya kuishi kuliko Dar na gharama za maisha sio kubwa kama Dar ila inabidi uwe na shughuli ya uhakika inayokupa kipato. Kwa mtoa mada Dar panamfaa coz ndo kuna organisation nyingi ambapo anaweza kupata kazi za kusukuma maisha. Huku Arusha mashirika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nina PhD natafuta kazi

    Mkuu umekuaje lecturer wakati gpa ya undergraduate ilikua 3.4 ???
  3. T

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Mkuu ubarikiwe sana nashukuru. Vp kuhusu kodi za TRA wanapigaje hesabu maana watu tunataka kucalculate total cost kabisa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    Mkuu nna shida na printing mashine ya kuprint banners na A3,A4 flyers. Pamoja na Commercial Washing mashine na Photocopy mashine kubwa. Naomba msaada wa bei za hivo vitu huko.
  5. T

  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya DryCleaning

    Habari wadau. Naomba msaada juu ya biashara ya Drycleaning. Ningependa kujua hasa juu ya gharama za mashine na jinsi nnavyoweza kuagiza kutoka nje pamoja na kodi za TRA au kama hapa Tanzania zinapatikana. Natanguliza shukrani.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Printing

    Habari wadau. Naomba msaada juu ya biashara ya printing hasa kuhusu bei za mashine ya kuprintia A4 and A3 coloured flyers, banners, billboards, calendars, tickets, magazines, n.k Naomba msaada tafadhali.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Android tukutane Arusha Technical College

    Washiriki wote watakabidhiwa cheti baada ya kumaliza kozi. Kuhusu hostel utaratibu unaweza kufanyika kwa atakayetoka mbali.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Android tukutane Arusha Technical College

    Habari wadau. Wale wanaopenda kujifunza kutengeneza Apps za Android tukutane Arusha Tech kutakua na course itakayoanza 18/08/2014 kwa wiki moja na bei ni sh 80,000/= tu hio ni phase 1. Na phase ya pili itaanza tar 25/08/2014 kwa wiki mbili bei ni sh 100,000/= Nimeattach tangazo kwa info zaidi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nauza chumba self container Arusha Makao Mpya

    Nmehamia pengine
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nauza chumba self container Arusha Makao Mpya

    Habari Wadau. Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki hii utaweza kuhamia na kukaa bure mwez huu mpaka utakapoanza mwez wako wa nane.Kitanda na godoro vyote...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Android Applications Development Course kwa Arusha

    Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms kwenda 0714689866 ikiwa na jina na email. Pia unaweza pata maelezo zaidi kwa hio namba. Haya Developers...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Android Applications Development Course kwa Arusha

    Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms kwenda 0714689866 ikiwa na jina na email. Pia unaweza pata maelezo zaidi kwa hio namba. Haya Developers...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Android Workshop kwa Arusha

Back
Top Bottom