Recent content by TECH WIZ

  1. T

    Pigo jingine kwa Kagame: Burundi yawafukuza watutsi wenye asili ya Rwanda

    Una hakika kwamba huyo jamaa ni mkimbizi wa Kitutsi?
  2. T

    Kutoka ripoti ya UN: Tanzania na Rwanda zilishapigana!

    I never trusted UN or anything called International Organization,Really.I believe Western Powers are speeding up to forment a regional conflict for their own interest.They wanna Tanzania as a bait to achieving their goal.All i can say is We need to stay out of this and take care our own business.
  3. T

    Hakuna excuse kuwa "Vyama Vyote ni Ulaji tuu"..Hata tairi bovu hutolewa na lenye afadhali.

    Kwahiyo unataka kutuambia kuwa tuwapeleke Chadema madarakani hata kama wanachokifanya ni kinyume na maadili ya uongozi simply because wao ni wapinzani?Kuna baadha ya novels za kiingereza nilizowahi kuzisoma ziliwahi kuzilinganisha hizi post-colonial governments na black colonialism kwasababu...
  4. T

    Mkapa aiponda misaada kutoka nje - asema yadhoofisha uchumi Afrika

    Katika Utawala wake Mkapa aliweka mkazo zaidi ktk MACRO-ECONOMY yaani uwekezaji mkubwa,Ndiyo kuna matokeo hasi yalionekana hususan ktk sekta ya uzalishaji kwani baadhi ya viwanda vilishindwa kuendelea na uzalishaji na hivyo kuathiri pato la Nchi pamoja na sekta ya ajira.Naona kosa kubwa...
  5. T

    Rwanda dismisses Kagame death rumours

    This is very strange,We should expect HIM (Kagame) to appear on the public media and laughing off the rumors HIMSELF and not his aide but he chose to remain in his HIDE-OUT instead!Could this news be true is anyone guess!!!
  6. T

    Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    So much for the CHANGES!!!
  7. T

    Mkapa aiponda misaada kutoka nje - asema yadhoofisha uchumi Afrika

    Hilo ni kosa ambalo hata yeye mwenyewe amekiri na ninaamini angeweza kurudisha Mashirika yote yaliyobinafsishwa ambayo yana-underperform kama angeendelea kuwa madarakani.Mkapa to me will always be the best President ever.Huyu jamaa hata akiamua kugombea kesho atapata kura yangu,Dr Slaa anafuatia...
  8. T

    Ombi la Zitto kutembelea SAUT-Mwanza lakataliwa na uongozi wa tawi

    Yaani Pro-Mbowe mnanichekesha sana,Khaah!Sijajua umri wenu ni miaka mingapi lakini kwa jinsi mnavyoonesha tabia zenu hapa nina uhakika mtakuwa hamzidi miaka 18,Na kama mna zaidi ya miaka 18 basi tena kutakuwa na nini sijui.Unajua watoto siku zote hupenda kusikia habari nzuri tu kuhusu wao,Yaani...
  9. T

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    If y'all know why they call me TECH WIZ well today i'mma give y'all a piece of HINT.You know what!!??Nimeielewa hii story ya Mtoi kinyume chake.Mbowe ana kashfa ya kupokea fedha kutoka kwa wanaotuhumiwa na makosa ya UFISADI so hii inamaanisha kwamba Mbowe ana mahusiano ya karibu na Mafisadi wa...
  10. T

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Kama unatoka Kilimanjaro sitakulaumu!Unamlinganisha Ben Saanane na Zitto Kabwe?Kweli sasa chuki zenu dhidi ya Zitto zinawafanya muonekane vituko!!!Asubuhi Njema.
  11. T

    Albert Msando: Hatushindani na chama au wanachama wa CHADEMA

    Jinsi tu Msando alivyoongea anaonekana yuko smart sana kichwani,Ameongea point ya msingi sana.Haya wale wasioweza kabisa kutumia akili zao ipaswavyo katika kudadavua mambo ya msingi na hoja madhubuti kama hizi ni fursa yenu nyingine kuporomosha mitusi,kumwaga kashfa na kuwaita wenzenu majina ya...
  12. T

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Wakiri tu kwamba walichemka katika suala zima la katiba,Kupitia Zitto tunazidi kujua ni aina gani ya Viongozi tulio nao Chadema Viongozi walio tayari kuvunja kanuni,taratibu & katiba ya Chama kwaajili ya maslahi yao binafsi,Viongozi wanaotaka kutumia mianya ya kisheria katika Vyama kujijengea...
  13. T

    Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    Kwa kiasi flani nampongeza Wassira kwa kutumia akili yake vizuri kwa kujua nini kitakuja mbele ila nakataa kumwita Wassira a Visionary leader,Visionary leaders wana foresee beautiful futures tu.Msisahau kuwa Wassira aliwahi kuwa Upinzani so ana uzoefu mkubwa na siasa za Upinzani.Tatizo kubwa...
  14. T

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    This Zitto saga is getting too personal now,I wish Chadema Committee could overturn their earlier decisions to flush Zitto & his allies out of the Party to save Chadema from the potential political demise/downfall it's facing.
  15. T

    Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Wanasema Chadema haisiti kufanya maamuzi magumu kwa kuwashughulikia makada mizigo huku wakitoa mifano ya akina Zitto,Mwigamba na Kitila haya sasa na Mwenyekiti huyooo naye ndani ya nyumba ningependa kuona kama Chama kitafanya maamuzi magumu dhidi ya huyu GAMBA,NOT!
Back
Top Bottom