Mkuu leh umetoa madini safi sana.
Kwa kuongezea, mbadala wa Plex kuna application nyingine inaitwa Jellyfin ambayo yenyewe ni open source. Ukitumia Jellyfin utaweza kutengeneza media server yako, na hata kam ukiwa hauna data za internet lakini vifaa vyako vimeunganishwa kwenye network "Local...
Kabisa Mkuu Kiranga , Privacy ni muhimu sana.
Kiukweli hata mimi haizidi mara tano kuangalia content kupitia Jellyfin kwenye simu. Mara nyingi nafanya ku-search na ku-wishlist halafu baadae naziangalia kwenye big screen.
Mara nyingi nawaachia watoto waitumie Jellyfin kwenye smartphone na tablet.
Mkuu Kiranga , Plex wana "features" mbalimbali ambazo Jellyfin hana ila kuzipata hizo "features" itabidi uwe na "Plex Pass". Ila Jellyfin ni "open source" na unaweza kui-"customize" na features zake ni bure.
Kwa mfano Jellyfin unaweza kutazama "content" hata kwenye "smart phones" bila kulipa...
Kwa upande wangu naona mtandao wa Vodacom unajitahidi sana.
Nina 5G router yao na nimejaribu kuitumuia sehemu mbalimbali na ipo vizuri. Ninaitumia karibia miaka miwili na zaidi sasa.
Sehemu ambapo hakuna 5G inatumia 4G.
Pia baadhi ya router zao zina "band locking feature", hii inasaidia sana...
Mkuu kama unataka "concrete answers from Tanesco" nadhani ukipiga simu Tanesco huduma kwa wateja watakuelewesha vizuri zaidi.
Mimi niliwapigia na wakanielewesha makato yalivyokatwa pindi nilivyonunua umeme.
Mkuu mi na mawazo tofauti kidogo.
Kama hiyo nyumba imezungukwa kila sehemu, basi vunja hiyo nyumba halafu patengeneze kuwe sehemu ya kupumzikia / zile playground za watoto.
Najua majirani hao hawakosi watoto, kwahiyo watapenda tu kuja kupoteza mda hapo na utakuwa unawachaji hela ndogo tu...
Mimi walinitafuta wakanitumia 15,000.
Wakashusha commission kutoka 1000 hadi 500 kisa sikufanya hiyo task yao ya prepaid (Ya kutuma hela).
Nikawaambia basi wanikopeshe 50,000 ili niiweke kwao, na nikipata faida nitawarudishia hela yao, mpaka leo hawajanijibu.
Mi ninavyoona ukikutana na hawa...
Nimekuelewa, utaziweka kwa mda mrefu.
Ila kwanini usifanye hivi;
Hiyo amount ambayo unapanga kuirejesha benki kila mwezi kwa miaka tisa, badala ya kuchukua mkopo na uipeleke benki, basi kila mwezi iweke UTT, naamini ukifanya hivyo ndani ya hiyo miaka 9, hela yako ya UTT inaweza kufika zaidi ya...
Mkuu, kwa nilivyokuelewa hiyo 400K ni rejesho ya riba, Je rejesho lote (riba + deni) kwa mwezi itakuwa kiasi gani?
Umesema unataka kuweka UTT, kwa uelewa wangu ukiweka UTT hiyo 50M mfuko wa bond, kwa mwezi utapata ~430K.
Je hiyo faidia ya mwezi kutoka UTT itaweza kulipa rejesho lote la mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.