Recent content by Teacher Mpamire

  1. Teacher Mpamire

    Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

    Fanyia mazoezi kwako, uwanjani au open space.hii ni Tz barabara ni ndogo driver akibanwa anakuletea, ukikimbia mitaani akiitiwa mwizi umekwisha. Chaguo ni lako!
  2. Teacher Mpamire

    Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Kwa siku za karibuni magazeti na BAADHI ya media zetu zimekua zikileta ushabiki wa kindezi kwenye mambo ya msingi ambayo ni ya kitaifa. Inaweza ikawa wanafanya hivyo kwa kuamua au kuna affiliation na wanaowatuma. Ni jambo la hatari sana pale media zinapojitoa akili na ku provoke mijadala ya...
  3. Teacher Mpamire

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimecheka louder kama nakuona ulivyoogopa comment ambigous ..[emoji16]
  4. Teacher Mpamire

    Wanaozima taa za nje Usiku huwa na maana gani?

    Ni kweli mkuu..hiyo ni primitivity at its best.Kama ni security lights sasa zitalinda saa ngapi..nina jirani yangu msomi ila ana hizo swaga yani anatamani amulikwe na taa zangu, ila vibaka walimnyoosha naona sasa hivi anafuga kambwa sema taa hawashi.
  5. Teacher Mpamire

    Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

    Tatizo ni facebook au ni wewe ulikurupuka mwendo wa ngiri mkia juu jombaa? Facebook ni platform ina kila aina ya kitu, play your cards wisely!
  6. Teacher Mpamire

    P2 Husababisha Ugumba Ummy atoa Muongozo

    Msiandike habari za kitaalamu kama hizi kama unaandika juu ya VICOBA. Heading inasema kingine content inasema kingine. Kuna tofauti kati ya inaweza na inasababisha!
  7. Teacher Mpamire

    Mkandala Lufufu anastahili Honorary doctorate

    Yupo mkenya mmoja anaitwa Dj Afro ni shida anaongea hadi kilugha chao!
  8. Teacher Mpamire

    Je, Hoyce Temu kamponza Diwani Athumani?

    Well, issue za hoyce ni yeye na aliyekua muajiri wake UNDP, sidhani kama zina uhusiano na TISS. May be tuseme baada ya kuwa rufaa yake huko kwa aliyekua muajiri wake imeshindikana tuseme atumbuliwe kwakua ameonekana hakufit ila has nothing to do na Diwan. Pia masuala ya Hoyce yamepita sio ya...
  9. Teacher Mpamire

    Mbunge wa Muheza, Mwana FA alipataje Master's Degree bila kuwa na Bachelor degree?

    Ha ha ha...watu wanataka Kumchafua Binamu..B! Dizaini alisoma Advance Dip IFM...nahisi kuna typing error hapo!
  10. Teacher Mpamire

    LATRA yapandisha nauli za Mabasi ya Mwendokasi, Teksi na Pikipiki za mtandaoni

    Mkuu unamuona wa kuhoji vitu kama hivyo? Sihukumu ila ni kama wannachi walio wengi "wameridhika na mambo yalivyo" na wanaishi maisha yao! Angalia bei ya petrol alafu jiulize isingekua msururu wa makodi bei isingekua hivyo! ila nani amehoji? wanasiasa wame take over kila kitu nchi hii! Kazi ipo!
  11. Teacher Mpamire

    Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

    Sawa tu, ila mabadiliko kwenye idara ya usalama hautukuzoea yawe mara kwa mara, kulikoni miaka ya karibuni?
  12. Teacher Mpamire

    Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

    Mkuu Shakari Hakuna cha kutoka hadharani zaidi ya hapo, tuliosoma CUBA tumeshaelewa muda mrefu sana mbona kila kitu kiwazi kabisa.... vijana wanasema ukiona hivyo wahuni wamegusa pabaya!
  13. Teacher Mpamire

    Tanzania kuna idadi kubwa ya Maprofesa na madaktari (PhD holder) lakini ugunduzi hamna

    Mleta hoja asibezwe: Swali la msingi: Impact ya wasomi wetu kisiasa kiuchumi etc ni visible? Hili ndio swali la msingi! Ni sawa na useme kaya yako imejaa wasomi….je uwepo wasomi ume impact vipi maendeleo ya Kaya yako? Au ni intellectual arrogance na bragging tu!
  14. Teacher Mpamire

    Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

    Well, wastaafu wetu tunawaheshimu na kuwapenda ila mzee wetu JK mbona kama analazimisha kila mtu ajue kua “yeye ndio man of the show” ? Tunajua ni mastermind wa siasa za Tz hasa kipindi hiki cha awamu hii but mambo mengine angeachia wahusika “wapambane” !
Back
Top Bottom