Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?
Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?
Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa?
Natanliza shukrani kwa watakaochangia
Wadau katika kufanya setting za simu nimejikuta nimeikubalia screen reader na matokeo yake simu haifanyi kazi tena, kila unachogusa inatamka maneno ya kile ulichogusa nimejaribu kutafuta namna ya kujitoa nimeshindwa, nafikiria kupeleka ika flashiwe lkn kuna vitu vyangu vingi vya muhimu, je...
Wadau msaada unahitajika, kuna web fulani nikiingia inakuja msg yenye ujumbe unaosema you have not unlocked your ad blocker, you will be disconnected in 5 seconds. Naambatanisha picha. Jee nifanyeje kuzuia hii hali aisitokee?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.