Recent content by Tea Party

  1. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini angefanya haya angeshinda Nobel Prize na angekuwa Mandela wa pili wa dunia but sadly sasa hivi kila mtu HAMTAKI

    Angefanya yafuatayo angekuwa ni shujaa, level za kina Mandela lakini ndo hivyo tena 1. Kwanza hakutakiwa kugombea kwa muhula wa pili. Muhula wa kwanza ulikuwa unamtosha. Ingemjengea hesima kubwa sana 2. Angetumia miaka 4 kuhakikisha analeta Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Angefanya hivi...
  2. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Mwanzo mwisho jinsi watekaji wenye silaha walivyomteka mfanyabiashara wa Tarime Joseph Mwita Mtiba. Familia yake yatoa tamko!

    Katika siku za karibuni, kumekuwa na matukio ya watu kutekwa na kupelekwa kusikojulikana, hali inayozua hofu kwa Watanzania wengi pamoja na familia, ndugu, jamaa, na marafiki. Hivi karibuni, mnamo Oktoba 29, 2024, majira ya saa tatu usiku, watu wasiojulikana walimteka mfanyabiashara Joseph...
  3. Tea Party

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilichofanyika Geita Kwenye Zoezi La Kuandikisha Wananchi Ni Matumizi Mabaya Ya Rasilimali Za Umma, Viongozi Wawajibishwe

    Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu mkubwa uliofanywa ikiwemo uwepo wa wapiga kura hewa takriban 300. Orodha ya wapiga kura...
  4. Tea Party

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30

    Wakuu huko Venezuela, kituo kimoja cha habari kimefungiwa kwa sababu editors walichapisha katuni inayoelezea matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea kwenye nchi hiyo. Hivi mtu unamiliki jeshi, FFU nzima iko chini yako na unaweza kuamua kila kitu kwa kauli moja tu, unaanzaje kufungia media...
  5. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Kitakachompa urais Trump mwaka huu ni sakata la wahamiaji haramu

    Hii sio habari mkuu ni uchambuzi. Kama utahitaji sources nielekeze ni sehemu inahitaji clarification niongeze!
  6. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Kitakachompa urais Trump mwaka huu ni sakata la wahamiaji haramu

    Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri? Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani. Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu. Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
  7. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Standards 4 Za Kupongezwa Kwenye Tanzania Music Awards Za Mwaka Huu (2024)

    Habari zenu wakuu! Natumaini mko poa na ni wazima wa afya hasa watu wa jukwaa hili la entertainment. Nisifanye ajizi na niende moja kwa moja kwenye mada. Mapema mwaka huu BASATA walitangaza kuwa tuzo za TMA zimerudi ambapo Seven Mosha wa Sony na Natasha Stambuli wa Boomplay walitangazwa kuwa...
  8. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Kijana mtafutaji, ukijenga Dar unaulazimisha umasikini uendelee kuwepo mlangoni mwako

    Solution ni kujenga mkoani. Then Dar unapanga centre au karibu na eneo lako la kazi. Hiyo nyumba ya mkoani unapangisha, then ukistaafu unaikarabati kidogo unazeekea huko. There’s no point ya kujenga Dar.
  9. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kisa changu naweza kupata madai yangu NSSF?

    Huwezi kuwashtaki mkuu?
  10. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

    Rayvanny angerudi Wasafi. For two years hana hit hata moja instead ameamua kwa wasanii wengine kufanya remix. Hii hashtag yake ya Global Way inamgharimu
  11. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

    Alivyoondoka Wasafi akaanza kuchanganyikiwa. Ana obsession fulani hivi ya kutaka kwenda kimataifa na ndo inayompoteza.
  12. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Sure mkuu.
  13. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Of course mkuu. Team yake ilipiga PR ya nguvu kuhakikisha anapata support ya wa Marekani
  14. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶 Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy. Tayla ameshinda tuzo hiyo kubwa kupitia kipengele cha Best African Music Performance alichokuwa...
  15. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Diamond siku akifariki, muziki wa Tanzania utakufa

Back
Top Bottom