Recent content by tchao

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salaam wakuu kwa wale wadau wa 1xbet .. Naomba kujuzwa ni wapi ninapohitajika kujaza ID namba ya kitambulisho maana nimeenda sehemu ya kuedit informations nime edit vyote lakini sehemu ya kujaza iyo ID namba sijaiona.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salaam, wale wa PLAYMASTER ni wapi tunabofya ili kufanya iyo CASHOUT. Nimeona screenshot hapo juu mdau kaituma, natanguliza shukran!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mr Q .. Samahani, hiyo betting site unayotumia inaitwaje??
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi 4 za Kazi Dar na Arusha

    Salaam .. Aliefanikiwa"kupakia" kati ya cover letter au resume atoe mwongozo maana mm imenigomea kabisa!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Finance assistant wa kujitolea. ajira baada ya miezi 3

    Tunakupataje mkuu ..??
  6. T

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Wapi MTOKAMBALI, KWEMBE, NDIYAMUKAMA, NYAHONYO, NZIKU, CHAO bila kuwasahau walimu wng wa darasa wa 4m 5 na 6(HGE) 2011-2013 NGAMESHA na KINYERO..
  7. T

    JamiiForums Tanzania UDOM best wishes in UE

    Best wishes buddies..
  8. T

    JamiiForums Tanzania Heslb yatoa mikopo tena

    Mm pia cjayaona npo MZUMBE UNIVERSITY..
  9. T

    JamiiForums Tanzania wale wa mzumbe

    Nashkuru kwa taarifa mungu akubariki..
  10. T

    JamiiForums Tanzania wale wa mzumbe

    Jamani mm naweza kufika chuo kwnye jumatano hivi kwa sababu bado pesa haijatimia ya gharama za hapo chuo, je naweza nikapat chumba au ndo ntakosa na nilishapingiwa hostel ya NYIRENDA..
  11. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Jamani msaada wakuu S0960/0496/2010
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu about heslb

    InshaALLAH, almighty god be with us..
  13. T

    JamiiForums Tanzania Loan board

    Mpaka sasa nimepoteza uzito kilo 5 kwa kufikiria hili swala na mikopo na HESLB kwa ujumla..
  14. T

    JamiiForums Tanzania Heslb na boom

    Nimekuelewa mkuu zaidi ya sana, mungu akubariki.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Loan board yatoa loan breakdown

    Tunashukuru kwa kuturusha roho sisi tunaotegemea kuanza mwaka wa kwanza mwaka huu.. Overr!!
Back
Top Bottom