Recent content by tbrighton

  1. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

    Wewe jidanganye rafiki yangu; hakuna cha usafi hapa. Siasa tu. Wewe subiri uone.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa, tatizo la Tanzania ni Richmond tu? Vipi EPA, Kagoda, Meremeta, Escrow, Mabehewa na Nyumba z

    Jamani yeye kapewa mkataba kudeal na issue ya Richmond tu,tatizo liko wapi ndg?.issues za escrow na nyingine tender inakuja ,unaweza kupewa cha muhimu uombe tu.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Hapa kuna super brand kweli?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni laana kwa watanzania kuirudisha tena CCM madarakani hata kama Magufuli anakubalika!!

    Watanzania tumelainiwa sijui na nani,tumeishaanza kusahau ahadi za 2005,tatizo mfumo uliopo..acha wapate kula za kishindoooo.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Pombe imesambaratisha familia, nahitaji ushauri

    Wewe na mkeo mmeishakuwa mwili mmoja.mmeunganishwa tayari na watoto.wazazi wana nafas yao kama wazazi kwa ushauri tu.mwamuzi wa mwisho ni wewe na mkeo.tunza familia yako.
  6. T

    JamiiForums Tanzania nauza LAPTOP bei poa nna shida!!

    Weka namba ya simu tuwasiliane.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwezi kupata Channel zingine DStv kama Startimes..... kwanini niwe na Decoder mbili?

    hii ndiyo tanzania mnayoitaka msilalamike.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Esther Wasira: Waliofilisi Mashirika ya Umma na Kujiuzia nyumba za umma kukiona 2015: Angalia Ch 10

    Jamani tupunguze jazba.Nchi ya kwetu wote.
Back
Top Bottom