Mkuu kama mzma afya unayo nguvu unayo na Bado unaishi kwa hilo tu mshukuru Mungu. changamoto kila mtu anapitia ili kujifunza kitu, ili cku unazifumania ufanye ya msingi maana wakati mwingine mali ukizipata kiraisi bila msoto zinaishiaga kwenye starehe tu. kaza buti fanya kama upo darasani vile...
Nyie ndio watu tunaowahitaji ktk jamii inayotuzunguka kwani mnawaza ambayo yapo ktk jamii yetu na tunaishinayo lkn kutokana na dhiki kuwa nyingi na changamoto za maisha tunakosa muda wa kufikiri kuyahusu.. Naunga hoja mkono mkuu.
Sifa ya kwanza; kwenye kanisa langu hakutakuwa na sadaka kbs wala hutaona vikapu vya sadaka Ila ukiguswa na mahubiri yangu ruksa kutunza! Kama wasanii wanaimba ujinga na wanatunzwa je, kwangu mtumishi siujinga kukataa?
Sifa ya pili; bakora lazima ziwepo kwa7bu sadaka hakuna asa tubembelezane nn...
Nyie si mmeshazoea kukumbatia uwovu na ujinga na kubembelezana ktk ibada zenu ili waumini walete sadaka lkn hamjui kuhubiri ile kweli ili watu waongoke na kumjua Mungu hivyo huwez nielewa maisha yako yote wala kuelewa topic zangu
Kenge weee!
Ubatizo ni kitendo cha imani tu yanii kuzaliwa mara ya pili kuacha maisha ya zamani na kuishi maisha mapya yaliomo ktk maandiko au maisha ya Yesu aliyoishi au yale aliyotufundisha, mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na lakushoto, mtu akikuibia TV mwachie na king'amuzi vitu kama hivyo mkuu.
NB...
Mkuu maswali yako yote mepesi tu; imani yangu inaniambia kupitia Yesu, "sichokiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi bali kile kimtokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.
2) hilo lakuongea chooni mimi naongoza maana chooni ndio sehemu yangu ya kufanya mazoezi yangu ya kuimba! Sasa hao...
Ukiwa na pupa na ukiwa na roho nyepesi utapoteza haki yako maana maandiko yenewe yanakuambia "mawazo yenye bidii {ktk lengo au kusudi fulani} huelekea utajiri tu, Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji. Kwaiyo kuja hapa na kuomba ushauri umekuja sehemu sahihi kbs kwa kuwa umeonyesha bidii ya...
Kuna mtu anatakiwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia [emoji85] lkn huko mbele huko kuna shida naiyona. hzo missions zpo Sana Ila shida inakuja damu ni nzito kuliko Maji. Ana dai ameshapata huyo mtu na anasifa zote lkn anaogopa jamaa acje akapenda mazima! Swali linakuja kwa huyo mtt atakuwa mali ya nan...
Nikikukabidhi moyo wangu
Hivi utanitesa mie,
Naogopa nikikukabidhi moyo wangu
Nahofia utanitesa mie,
Wewe mtoto wa mjini
Umezoea bata, mimi sina hizo!
Nimekuzwa kwenya dini
Nisije kupa moyo, ukanizawadia pigo. peh peh peh peeeh [emoji448][emoji448][emoji448]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.