Recent content by tawakkul

  1. tawakkul

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

    Habari JF. This goes to Makonda. Tukicheka na hivi vijumuia vinavyojiita vya wanawake vitatusumbua sana mpaka kwenye ndoa zetu. Kama kweLI wapo serious waanze kujikemea wenyewe wanavyojidharirirsha kwenye miziki kwa kucheza uchi na kuruhusu kushikwa shikwa ovyo. Wengi wao wanavaa nusu uchi...
  2. tawakkul

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Arusha yabaini watumishi wawili kutengeneza control number bandia na kutengeneza kampuni hewa ili kuchepusha pesa!

    Hii ipo karibu halmashauri nyingi sana nchini. Pesa ZINACHOTWA nchi hii kwenye kiwango cha kutisha. Akina Kinana na Nchimbi kazi yao ni kumbeza Makonda, wakati wao hakuna jipya wanalofanya kusaidia wizi. NCHI INALIWA VIBAYA
  3. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Kuna kitu kimejificha zaidi ya hiki tunachoambiwa. Let us wait....
  4. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Yaani kwa akili zako NAPE ulifikiri kujibizana kungekusaidia nini!? Viongozi wa aina yako yawezekana uongozi siyo karama kwenu.
  5. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Nitawashangaa BASATA wasipomfungia ZUCHU hata miaka mtano kwa Uchache

    Huyu alikuwa anakatika mbele ya Rais Mwinyi mwezi uliopita na Rais anakenua meno. HAFANYI HIVI KWA BAHATI MBAYA, TAYARI KACHUKUA PESA YA KUTOSHA KUTOKA KWA WANAOUPIGANIA USHOGA.
  6. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Utaratibu ulikuwa siyo mzuri na ndiyo maana hazikurudi.
  7. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Kama waziri wa kilimo anawajibu huo.
  8. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Kumbuka, ukiwasaidia wakulima hao utakuwa umetengeneza ajira nyingi sana kwa jamii masikini.
  9. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Habari wanaJF. Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe. UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
  10. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    PESAAA!!! NANI ALISABABISHA UWEPO MAISHANI!!?
  11. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Wangapi wametumbuliwa na kushitakiwa kutokana na Ripoti ya CAG 2022?

    Habari wakuu, Hii ripoti ilisababisha mvutano mkubwa na mpaka wanaojitambua kutaka kulazimisha bunge kuijadili kabla ya muda wake. Hivi wale walichezea pesa zetu, kodi zetu kwa maslahi yao na familia zao wamechukuliwa hatua gani? Au ni siri na hatupaswi kufahamu? Tuliambiwa tusubiri bunge la...
  12. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    WALIOSABABISHA UPUUZI HUU WAPO NA WANAENDELEA KULIPWA MSHAHARA, WAKATI YULE MFANYAKAZI WA MKULAZI ANAYESEMEKANA ALIIBA VIFAA VYA KIWANDA AMESHAPIGWA RISASI NA KUUAWA.
  13. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa wasiojua majukumu yao ya kazi wapumzike

    WANAPASWA TUWAPUMZISHE NA SIYO WAPUMZIKE. "WABUNGE POSHO."
  14. tawakkul

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    Ni akili ya kijinga sana kumuamini Dr Mihogo. NI WAJINGA TU NDIYO WALIOSAHAU ALICHOTUFANYIA KIPINDI CHA MAGUFULI.
  15. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Sasa porojo zangu ziko wapo!? "Wonderfull" Kwahiyo alikubali au alikataa? Any way, you have dug according to your hoe
Back
Top Bottom