Recent content by Tausi Mzalendo

 1. Tausi Mzalendo

  Kama ni huyu mbakwaji na kapuya, kapuya is innocent, kabisaaa!

  Atakuset vipi kama na wewe huna elements za umalaya? Unaacha kufuata wakubwa wenzio mnatafuta dezodezo kwa vitoto. Mkubwa mwenzio atakutoa kamasi ehh?
 2. Tausi Mzalendo

  Kapuya umejidhalilisha wewe na family yako wapaswa kuwaomba watanzania Radhi

  Ulimuona akikenua? Mkewe ulitaka afanyeje? Mbona unamtukana mke kwa dhambi ya mume?
 3. Tausi Mzalendo

  Kapuya umejidhalilisha wewe na family yako wapaswa kuwaomba watanzania Radhi

  Nimechekaje! Ulivyoiweka is so funny!!! Ila ukweli umeusema vizuri sana
 4. Tausi Mzalendo

  KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

  Na gari aliyoipeleka na kuitelekeza nyumba kwa watoto wale ilikua ya nini? Je wafanyakazi wa mahoteli aliyokuwa anambaka huyo mtoto si wapo?
 5. Tausi Mzalendo

  KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

  Mashahidi si wapo? Mkewe anaweza kuthibitisha maana mzee kazoea michezo michafu kwa watoto wa watu..mke ni shahidi nambari wani
 6. Tausi Mzalendo

  Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

  hili zee jinga sana! Lione sura yake.inasemekana bungeni ni ngono tu kutwa mara tatu......aibu!
 7. Tausi Mzalendo

  Give them a break! Kwanini watu wanakataa kila anayeteuliwa?

  Kila uteuzi unakataliwa, Watu kutwa kulalamika kwanini fulani kateuliwa, hawezi! Mngetaka nani ateue au ataeuliwe kushika nyadhifa zinazotakiwa kujazwa ili mridhike? Ati walioteuliwa hawana uwezo.Mmejuaje ilhali ndiyo kwaaanza wameteuliwa tu? Kwanini wasipewe nafasi wakaonyesha wameshindwa...
 8. Tausi Mzalendo

  Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

  Ukipewa utakataa? Sema ukweli! Tatizo nilionalo mimi pia ni wivu kuwa kwanini fulani kapata na siyo mimi, au kwanini siyo ndugu yangu kateuliwa? Akiteuliwa baba/mama yako utamshauri akatae kwa vile hawezi??
 9. Tausi Mzalendo

  Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

  mPEEEEE aelewe. Teuzi zote zinakataliwa.Sasa ni nani anatakiwa? Nani ateue ili watu waridhike? Nyie mnaolalama mkipewa pia mtajikataa kuwa mmeteuliwa na dhaifu hivyo hamfai? MAJANGA!
 10. Tausi Mzalendo

  Wanaume siku hizi wamekuwa kama wanawake ushauri

  ulitoa wapi hilo zigo? Kuzaa umelizalia pia?
 11. Tausi Mzalendo

  Mabinti Kuwekwa Nyumba ndogo tatizo nini?

  nimekusoma..ila najiuliza maswali pia: Ukishafaidi sifa hizo za mume wa mtu, binti uliyewekwa kimada hatima yako inakuwaje pale utakapochokwa? Na je ukishazoea vya kunyonga, vya kuchinja utaviweza ?
 12. Tausi Mzalendo

  Washauri wa JM Kikwete

  ulitaka ashauriwe na nani?. Weye washauriwaga na nani vile?
 13. Tausi Mzalendo

  Waume Zetu Wa Ki Africa, Jifunzeni Kupenda Wake Zenu, Msikomalie Culture Stigma! TIMES ARE CHANGING!

  WANAUME MBONA MMEKUWA WAKALI SANA WAKATI MNAPEWA USHAURI? mbona kila mara mnaleta threads za kuwashauri wadada/wamama jinsi ya ku- handle wanaume? Lara kuwaambieni ukweli imekuwa nongwa? Mitusi na kashfa za nini? Kumbukeni kila mtu ana haki ya kuwa na maoni yake binafsi.Every idea/opinion is...
 14. Tausi Mzalendo

  Waume Zetu Wa Ki Africa, Jifunzeni Kupenda Wake Zenu, Msikomalie Culture Stigma! TIMES ARE CHANGING!

  bora!mateso ya ndoa yangekuwa na mwisho nisingejali kuchezewa
Top Bottom