Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Kila uteuzi unakataliwa,
Watu kutwa kulalamika kwanini fulani kateuliwa, hawezi!
Mngetaka nani ateue au ataeuliwe kushika nyadhifa zinazotakiwa kujazwa ili mridhike?
Ati walioteuliwa hawana uwezo.Mmejuaje ilhali ndiyo kwaaanza wameteuliwa tu?
Kwanini wasipewe nafasi wakaonyesha wameshindwa.
Katiba iliyopo inampa madaraka Rais kuteua viongozi wa juu wa serikali na si vinginevyo.
UTEUZI NI UTEUZI - hauna ushindani hivyo ni bahati mbaya sana nchi yetu ina utaratibu huo.
Mchakato wa Katiba mpya unaweza kuleta mabadiliko ikiwa wananchi wataamua hivyo.
Ukute walalamishi wengi wala hawajashiriki mchakato na kutoa maoni na mapendekezo yao wanakalia kulalamika kwa keyboard tu hapa.