MODEL ni GT P5100 16GB. Ipo katika hali nzuri inatumia line ya simu ya kawaida mtandao wowote, ina memory card hole, ukinunua nakupa na case cover yake + charger! Ni kama mpya imetumia mda mfup tu. Bei 550,000/= maongezi yapo!
DM me or call this number 0713998399
Hello nimejaribu kutafuta nyumba maeneo ya mjini kama sinza, kijitonyama, makumbusho mikocheni nk. inakuwa ngum, wenye nyumba weng wanataka kod ya mwaka, bajet yangu ni lak 2 au 1.5 kwa miez 6. So kama kuna mwenye interest tunaweza tukashare tukakod nyumba ya lak 4 au 3 kwa mwez then tunagawana...
Be forward wako vizuri, wanaku update kila siku from the day umelipa hela kununua gari mpaka siku meli inafika bandarini.
Mie gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa...
Wadau nashukuru gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa michango yenu ya kimawazo kuhusu swala hili.
Wadau nashukuru gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa michango yenu ya kimawazo kuhusu swala hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.