Recent content by TAUNO

  1. T

    Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    Okay aksante. Nikajua BOT walikua wananunua madini kwa wachimbaji tokea kipindi icho.
  2. T

    Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    kwani hile ya mmasai wa Arusha nani aliinunua kama sio BOT na ilikua mwaka gani?
  3. T

    Ukisikia kujilipua ndio huku. Milioni 60 hisa za CRDB, liwalo na liwe

    Mimi nilinunua hiza za CRDB zikiwa 120 na 320. sitauza mpka zifike 10000. so kama ni for long term ulifanya jambo jema mkuu.
  4. T

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Mzee nimecheka mpaka watu wananishangaa hapa . Huyo baba mdogo ni mtu wa maana sana kwa jinsi alivyokua anakupa ma hope.
  5. T

    Unajua kuna vijana walilala Miaka 309 bila kuamka?

    Kwan kipindi icho mbwa walikua na uwezo wa kuishi miaka mingapi mkuu.
  6. T

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Mkuu watoto wa kuzalia USA na wakakulia USA ni tofauti kabisa na watoto wanaozaliwa Tanzania na kupelekwa USA kwa kila kitu akili mpka matendo. Mtoto alie maliza la saba Tanzania ukimpeleka shule za USA anaweza wakimbiza kwa masomo vibaya sana.
  7. T

    Nimepata kazi ambayo inaniruhusu kuhamia USA nikitaka, lakini mshahara ni ule ule popote nitakapoamua kufanyia kazi

    Mkuu kama una watoto na unataka kufanya kitu kwa ajili yao nenda nao USA. But kama hauna watoto baki Tz twanga maisha. Kwa nini nasema hivyo; Kama watoto wako wapo vizuri kichwan, wakiwa USA wanaweza soma bure maisha yao yote ya elimu bila wewe kutoa hata $1. So kama unakwenda USA nenda kwa...
  8. T

    Wabunge walishindwa kung'amua ile IGA ya Bandari Waliyoiridhia ina HGA ndani yake, ndio sasa Wanatofautiana ni Makubaliano au Mkataba!

    Mkuu aksante sasa Umejibu maswali ambayo nilikua najiuliza tokea huu mjadala umeanza na hakuna mtu aliweza kuyajibu. Sent from my SM-G991U using JamiiForums mobile app
  9. T

    Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Cha kwanza Msukuma atuambie kwanini wambunge walipelekwa Dubai na India na sio kwenye inchi za Africa ambanzo Hiyo kampuni inaendesha bandari. Cha pili kwa nini mkataba ulipigwa sign kabla bunge na wanainchi hawajaipitia mkataba wenyewe na kukubaliana nao. Tatu msukuma atuambie yeye kama yeye...
  10. T

    Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Na bibi harusi wa juu sio wa chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. T

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Oohh yeah. Mwana iyo kitu tamu balaa tena bila hata sukari lakini ni tamu. Tena unapewana na viazi vitamu.
  12. T

    Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Huyu jamaa nae mkali sana namkubali.
  13. T

    Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Hakuna shida kwenye boda boda. but kwa jinsi UMUGHAKA anavyopangia story na anavyo elezea matukio anaonekana ni mtu sio wa fuji za boda boda. Na kama boda boda wengi wakiwa na aliki kama ya UMUGHAKA ajali za boda boda zatapungua sana. Kwani wataendesha kwa mpangilio na kufuata sheria zote barabaran.
Back
Top Bottom